L Lihove2 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 3,545 Reaction score 6,512 Mar 7, 2025 #21 gallow bird said: Umedanganya gharama za kutuma na kutoa Click to expand... Sijadanganya mkuu.jaribu kuhamisha crdb kwenda tigo hiyo laki uone kinachokupata
gallow bird said: Umedanganya gharama za kutuma na kutoa Click to expand... Sijadanganya mkuu.jaribu kuhamisha crdb kwenda tigo hiyo laki uone kinachokupata
C Chief Sanze JF-Expert Member Joined Jun 13, 2014 Posts 1,668 Reaction score 3,736 Mar 7, 2025 #22 Eti "Sisi kama serikali" Jamaa wanapenda kujiona wao ndiyo wao! Kwani wakisema serikali inaendelea kuboresha mifumo ........... ,kuna shida gani?
Eti "Sisi kama serikali" Jamaa wanapenda kujiona wao ndiyo wao! Kwani wakisema serikali inaendelea kuboresha mifumo ........... ,kuna shida gani?
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 3,915 Reaction score 6,272 Mar 7, 2025 #23 Lihove2 said: Sijadanganya mkuu.jaribu kuhamisha crdb kwenda tigo hiyo laki uone kinachokupata Click to expand... Ukishaingiza benki ni suala jingine,nilidhani mtandao wa simu
Lihove2 said: Sijadanganya mkuu.jaribu kuhamisha crdb kwenda tigo hiyo laki uone kinachokupata Click to expand... Ukishaingiza benki ni suala jingine,nilidhani mtandao wa simu