Waziri wa Fedha na Makamu wa Rais ni PhD holders wa uchumi. Tunakwama wapi?

Jana huyu waziri kakusanya wananchi jimboni kwake kwa kuwahonga 50,000/ na kutudharau Watanzania kwamba mbona misiba tuna changia lakini tunanshindwa kuchangia tozo za miamala...
Naona kama hujuma inatendeka hapa
 
Jana huyu waziri kakusanya wananchi jimboni kwake kwa kuwahonga 50,000/ na kutudharau Watanzania kwamba mbona misiba tuna changia lakini tunanshindwa kuchangia tozo za miamala....
Kunae kaukweli fulani hivi
 
Kusoma siyo kuelimika .

Ukitoa vyote ulivvyofundishwa ndo inabaki akili sasa jiulize wenye tatizo la akili wako wangapi?

Kwa hakika watawala wengi hawapendi wenye akili kuwa nao karibu ni wafanya biashara Tu ndiyo wanaowapenda wenye akili

Kusoma siyo kuelimika
 
Msimlaumu mtu mmoja kwa sheria illyopitishwa na bunge
 
Reactions: Ame
Wabunge waanze kukatwa posho na wapunguziwe mshahara
 
Kuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu?

Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi?...
Hakuna cha PHD hapo ni UBABAISHAJI MTUPU
 
Kuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu?

Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi?...
Ukishakuwa CCM lazima Utolewe kitu hiki Kichwani.

 
Elimu yetu ya kufaulu mtihani tu hakuna kitu
 
Wana PhD ya "Economics", shida ni kuitafsiri hiyo "economics" kuwa "uchumi", maana bongo kwa ground tunahangaika na "uchumi" na sio "economy" iliyopo kwenye nadharia na makaratasi🤣🤸🐒
 
Wana PhD ya "Economics", shida ni kuitafsiri hiyo "economics" kuwa "uchumi", maana bongo kwa ground tunahangaika na "uchumi" na sio "economy" iliyopo kwenye nadharia na makaratasi[emoji1787][emoji1732][emoji205]
Tuna kazi kubwa sana
 
Kuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu?

Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi?....
Nani alikuambia kuwa na elimu kubwa au kuongoza darasani ndo kipimo cha akili au mafanikio katika maisha.Elimu nyingi za Afrika ni mwendo wa kukariri, ukimaliza mitihani baada ya wiki ukiulizwa hakuna unachojua. Elimu ni fursa ya kupata ajira kwa nchi za Afrika na wala sio kingine
 
Nchi haina Waziri wa fedha hajui anachokifanya yupo yupo tuu pale...
 
Acheni uchonganishi...Mpeni mawazo chanya akiyakataa then mmuhukumu...
 
Unawaonea bure mkuu, hivi ukishawahi kuona mwanasiasa mwenye akili angalau? Yaani kaa ukijua mtu hata awe Guru kwenye fani fulani akishaingia kwenye siasa akili nayo inahama kutoka kichwani kuingia tumboni... then what do u think?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…