Waziri wa Fedha & Uchumi wa Hamas (Abd al-Fattah al-Zari) Afariki kwa Shambulio la Ndege

Waziri wa Fedha & Uchumi wa Hamas (Abd al-Fattah al-Zari) Afariki kwa Shambulio la Ndege

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
7,021
Reaction score
11,475
Huyu alikuwa ndiye waziri wa fedha na uchumi wa Hamas ambaye pamoja na majukumu mengine kazi yake ilikuwa kitengo cha Hamas cha uzalishaji silaha.

20240805_184123.png
The IDF says it killed Hamas's economy minister in an airstrike in the Gaza Strip yesterday.

According to the IDF, Abd al-Fattah al-Zari'i also served as an operative in Hamas's manufacturing division.

The IDF says the manufacturing division works to "increase Hamas's weapons capabilities, including by exchanging information with other terror organizations across the Middle East."

Al-Zari'i, according to the IDF, played a "significant role in directing Hamas' efforts to seize control of humanitarian aid entering the Gaza Strip" as well as manage Hamas-controlled markets.

Additionally, he was responsible for the distribution of fuel, gas, and funds for "terror activities," the military adds.
 
Hamas wameziba shimo la panya na kipande cha mkate uliotiwa siagi,jamaa wanajikatia tu mapande wanavyotaka.

Wakitoka kwenye kile chumba chao wanamokaa sijui sita na yule binti mdogo mdogo kujadili nani amebaki kuwa nguvu ya kikundi wanaamua tu leo afe huyu kesho yule keshokutwa tukae tena tujue tutauwa yupi alimradi imekuwa mtihani kwa hamas.

Ama kweli Israel ni “Israel Mtoa Roho”
 
Aisee,Jews wanapiga Kila Kona ,wameziba masikio

Hii ni mbungi,Bampa to Bampa😀
Heshima hainunuliwi sokoni mkuu,ni kupitia njia kama hizi unaona kuna watu wanamgwaya jamaa!

Juzi hapo amekufa Heniey yule mkuu wa Hamas Iran ikapiga kelele wee mpaka kupandisha bendera nyekundu nusu mlingoti kwenye paa la msikiti wakisema ndani ya 24hrs Mazayuni watakuwa wanatafutana lakini mpaka sasa kimyaa kama hakuna kilichotokea hii yote ni kwa sababu muiran hajui aanzie wapi amalizie wapi kama akapiga halafu Mzayuni akacharuka maana atauwa wote kuanzia army general rais mpaka ayatollah mwenyewe hatatoboa.
 
Hamas wameziba shimo la panya na kipande cha mkate uliotiwa siagi,jamaa wanajikatia tu mapande wanavyotaka.

Wakitoka kwenye kile chumba chao wanamokaa sijui sita na yule binti mdogo mdogo kujadili nani amebaki kuwa nguvu ya kikundi wanaamua tu leo afe huyu kesho yule keshokutwa tukae tena tujue tutauwa yupi alimradi imekuwa mtihani kwa hamas.

Ama kweli Israel ni “Israel Mtoa Roho”
Laiti ummah wa uislamu wote wangemkubali na kufuata mafundisho adhim ya Imam wetu kipenzi chetu cha dhati haya yote yasingetokea.

Lakini licha ya yote leo kupitia yeye kwa kukana nafsi na kuuliwa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu tumemiminiwa Tawfiq za kutosha. Na tuna uhakika wa jannah na firdaus.

Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.

il_794xN.2160374853_o00v.jpg

Titicomb Code 255 Superbug aamina Malaria 2 adriz hydroxo
 
Iko hivi!

Israel hawataki kuokoa mateka wao kufanya sababu ya kuendelea kuuwa viongozi waandamizi wote wanaojihusisha kufadhili na ama kushabikia tu ugaidi

Israel tangu siku ya kwanza, walikuwa na uwezo wa kurudisha mateka wao, vile tu walikuwa wanatafuta kisababu mojawapo kijitokeze ili waichukue hiyo aridhi yote ya Gaza

Sasa wewe Mparestine uliyepo buza, andika uwezavyo hapa, ila ujue kabisa kwamba, Jews ni level za juu sana kwa watu aina ya waarabu
 
Kwa mtaji huo, hamas ni wapuuzi maana kama wangalikuwa na akili, wangewaachia Mateka wote haraka ili Israel wakose sababu ya kuwatwanga
 
Kwa mtaji huo, hamas ni wapuuzi maana kama wangalikuwa na akili, wangewaachia Mateka wote haraka ili Israel wakose sababu ya kuwatwanga
Na hata wakiwaachia leo watachukulia justification kwamba hao wanaowaua ndiyo waliochangia na kushadadia kwa kiasi kikubwa uvamizi wa Oct 7.

Yaani kwa vyovyote ilivyo Israel anaona kuna watu lazima wafe iwe kwa kheir au kwa shari ili apumue hilo lisipotimia mateka waachiwe wasiachiwe bado ataendeleza kichapo.
 
Back
Top Bottom