Waziri wa Fedha & Uchumi wa Hamas (Abd al-Fattah al-Zari) Afariki kwa Shambulio la Ndege

Waziri wa Fedha & Uchumi wa Hamas (Abd al-Fattah al-Zari) Afariki kwa Shambulio la Ndege

Laiti ummah wa uislamu wote wangemkubali na kufuata mafundisho adhim ya Imam wetu kipenzi chetu cha dhati haya yote yasingetokea.

Lakini licha ya yote leo kupitia yeye kwa kukana nafsi na kuuliwa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu tumemiminiwa Tawfiq za kutosha. Na tuna uhakika wa jannah na firdaus.

Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.

View attachment 3062374
Huyo imani ndio alikua mwalimu wa magaidi,bora amekufa akalombane kwenye danguro la ala.
 
Hamas wameziba shimo la panya na kipande cha mkate uliotiwa siagi,jamaa wanajikatia tu mapande wanavyotaka.

Wakitoka kwenye kile chumba chao wanamokaa sijui sita na yule binti mdogo mdogo kujadili nani amebaki kuwa nguvu ya kikundi wanaamua tu leo afe huyu kesho yule keshokutwa tukae tena tujue tutauwa yupi alimradi imekuwa mtihani kwa hamas.

Ama kweli Israel ni “Israel Mtoa Roho”
Naunga mkono hoja
 
Huyu alikuwa ndiye waziri wa fedha na uchumi wa Hamas ambaye pamoja na majukumu mengine kazi yake ilikuwa kitengo cha Hamas cha uzalishaji silaha.
View attachment 3062361
The IDF says it killed Hamas's economy minister in an airstrike in the Gaza Strip yesterday.

According to the IDF, Abd al-Fattah al-Zari'i also served as an operative in Hamas's manufacturing division.

The IDF says the manufacturing division works to "increase Hamas's weapons capabilities, including by exchanging information with other terror organizations across the Middle East."

Al-Zari'i, according to the IDF, played a "significant role in directing Hamas' efforts to seize control of humanitarian aid entering the Gaza Strip" as well as manage Hamas-controlled markets.

Additionally, he was responsible for the distribution of fuel, gas, and funds for "terror activities," the military adds.
Kuua ni dhambi
 
Na hata wakiwaachia leo watachukulia justification kwamba hao wanaowaua ndiyo waliochangia na kushadadia kwa kiasi kikubwa uvamizi wa Oct 7.

Yaani kwa vyovyote ilivyo Israel anaona kuna watu lazima wafe iwe kwa kheir au kwa shari ili apumue hilo lisipotimia mateka waachiwe wasiachiwe bado ataendeleza kichapo.
Ndiyo. HAMAS Amekaa kwa muda mrefu mno na hao mateka. Wameteseka sana. Ni lazima iwepo fidia - haiwezekani uwashikilie watu muda wote huo halafu baadaye uwaachie na uondoke hiv-hivi. Hamnaga hiyo. Lazima ufinywe sana.
 
Laiti ummah wa uislamu wote wangemkubali na kufuata mafundisho adhim ya Imam wetu kipenzi chetu cha dhati haya yote yasingetokea.

Lakini licha ya yote leo kupitia yeye kwa kukana nafsi na kuuliwa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu tumemiminiwa Tawfiq za kutosha. Na tuna uhakika wa jannah na firdaus.

Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.

View attachment 3062374

Titicomb Code 255 Superbug aamina Malaria 2 adriz hydroxo
Nilitaka nikuite kumbe upo kwenye Uzi
Hizi picha unazitoa wapi lkn?
🤣🤣🤣🤣Duh mwanangu mbavu zangu zinauma Kwa kucheka
 
Back
Top Bottom