jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Huyo imani ndio alikua mwalimu wa magaidi,bora amekufa akalombane kwenye danguro la ala.Laiti ummah wa uislamu wote wangemkubali na kufuata mafundisho adhim ya Imam wetu kipenzi chetu cha dhati haya yote yasingetokea.
Lakini licha ya yote leo kupitia yeye kwa kukana nafsi na kuuliwa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu tumemiminiwa Tawfiq za kutosha. Na tuna uhakika wa jannah na firdaus.
Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.
View attachment 3062374
Naunga mkono hojaHamas wameziba shimo la panya na kipande cha mkate uliotiwa siagi,jamaa wanajikatia tu mapande wanavyotaka.
Wakitoka kwenye kile chumba chao wanamokaa sijui sita na yule binti mdogo mdogo kujadili nani amebaki kuwa nguvu ya kikundi wanaamua tu leo afe huyu kesho yule keshokutwa tukae tena tujue tutauwa yupi alimradi imekuwa mtihani kwa hamas.
Ama kweli Israel ni “Israel Mtoa Roho”
Dini ni ujinga. Period.Aende akafurahie majini 72 kwenye sehemu waendapo kufanya ngono baada ya kufariki
Kuua ni dhambiHuyu alikuwa ndiye waziri wa fedha na uchumi wa Hamas ambaye pamoja na majukumu mengine kazi yake ilikuwa kitengo cha Hamas cha uzalishaji silaha.
View attachment 3062361
The IDF says it killed Hamas's economy minister in an airstrike in the Gaza Strip yesterday.
According to the IDF, Abd al-Fattah al-Zari'i also served as an operative in Hamas's manufacturing division.
The IDF says the manufacturing division works to "increase Hamas's weapons capabilities, including by exchanging information with other terror organizations across the Middle East."
Al-Zari'i, according to the IDF, played a "significant role in directing Hamas' efforts to seize control of humanitarian aid entering the Gaza Strip" as well as manage Hamas-controlled markets.
Additionally, he was responsible for the distribution of fuel, gas, and funds for "terror activities," the military adds.
Sponsor nae mmoja kaliwa kichwa bado kwenye Chopa bado Sponsor mkuu Grand Ayatolah.Kilasiku lazima kiongozi mkubwa wa Hamas adondoke
Aisee! Myahudi amepania kuwamaliza wote. Sasa hii ishakuwa ni fursa kwa wale wazee vijana wa kubet. Who is next?naona wale vigogo wa Hamas wanaliwa vichwa mmoja baada ya mwingine.
Ndiyo. HAMAS Amekaa kwa muda mrefu mno na hao mateka. Wameteseka sana. Ni lazima iwepo fidia - haiwezekani uwashikilie watu muda wote huo halafu baadaye uwaachie na uondoke hiv-hivi. Hamnaga hiyo. Lazima ufinywe sana.Na hata wakiwaachia leo watachukulia justification kwamba hao wanaowaua ndiyo waliochangia na kushadadia kwa kiasi kikubwa uvamizi wa Oct 7.
Yaani kwa vyovyote ilivyo Israel anaona kuna watu lazima wafe iwe kwa kheir au kwa shari ili apumue hilo lisipotimia mateka waachiwe wasiachiwe bado ataendeleza kichapo.
Kiburi si maungwana. Wacha wamezeshwe dawa chungu.Kwa mtaji huo, hamas ni wapuuzi maana kama wangalikuwa na akili, wangewaachia Mateka wote haraka ili Israel wakose sababu ya kuwatwanga
Senior mkuu akiliwa kichwa ndio Iran itazinduka na bu the time inazinduka haitaweza kuretaliate maana there will be a great confusion miongoni mwa high ranking officersSponsor nae mmoja kaliwa kichwa bado kwenye Chopa bado Sponsor mkuu Grand Ayatolah.
Mkuu; Hao watu ni kama akina nani? (Usimtaje Israel kwani hiyo sio kawaida yake ni mpaka achokozwe)Kuna watu kwao ni jambo la kawaida kabisa kuondoa roho za binadamu wenzao!! Inashangaza sana.
Huko wanaenda kufanya tena kosa lingine kwa allah wao kwani allah aliwapa ruksa mwisho ni wanawake 4 tu.Waende kwenye dangulo lao la ahela wanawake 72 mume mmoja
Maandiko yanasema: Auaye kwa upanga naye atakufa kwa upanga.(Math.26:52)Kuua ni dhambi
🤣🤣Ni jambo jema,kazi iendelee.
Nilitaka nikuite kumbe upo kwenye UziLaiti ummah wa uislamu wote wangemkubali na kufuata mafundisho adhim ya Imam wetu kipenzi chetu cha dhati haya yote yasingetokea.
Lakini licha ya yote leo kupitia yeye kwa kukana nafsi na kuuliwa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu tumemiminiwa Tawfiq za kutosha. Na tuna uhakika wa jannah na firdaus.
Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.
View attachment 3062374
Titicomb Code 255 Superbug aamina Malaria 2 adriz hydroxo
🤣🤣🤣DuhAisee! Myahudi amepania kuwamaliza wote. Sasa hii ishakuwa ni fursa kwa wale wazee vijana wa kubet. Who is next?
Yaani wavaa vipedo taabu tupu🤣🤣🤣🤣Huko wanaenda kufanya tena kosa lingine kwa allah wao kwani allah aliwapa ruksa mwisho ni wanawake 4 tu.