Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mzee Sihaba au Rukhsa amesema amepata nafasi mbalimbali za uongozi lakini hajawahi tumia hongo,husda au uchawi lakini hao wengine wamepitia milango isiyosahihi ndio maana wanatenda tofautiHili jamaa ata ongea yake inaonyesha weledi hana, sijui kaupataje ata huo uwaziri ..
Kweli mkuu! Yani kila nikimuangalia sioni quality yoyote ya uongozi ndani yake ..Mzee Sihaba au Rukhsa amesema amepata nafasi mbalimbali za uongozi lakini hajawahi tumia hongo,husda au uchawi lakini hao wengine wamepitia milango isiyosahihi ndio maana wanatenda tofauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haliwezi kujiuzulu hadi litumbuliwe. Jinga sana hili jamaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Tukikesha Kanisani na Msikitini Magufuli hawezi Kufufuka?
Usitegemee cha ziada awamu ya 6, Tegemea Mh. Kuvaa magauni mazuri na kwenda kujitambulisha Afrika nzima na Dunia kwa Ujumla huku akitembeza bakuli la kuomba misaada kila kukicha.Naamini mpaka sasahvi waziri ashaandika barua ya kujiuzulu. Laiti ningekuwa raisi wa nchi hii.....waziri, naibu waziri, katibu, sijui na takataka gani nyingine wote wangeshaondoka wizarani. Haya yote ndio dalili ya uongozi wa SSH mtaona mengi, simuhukumu sana mama yetu lakini kunadalili fulani naiona ya kijinga sana inarudi kwa kasi
Bashungwa,kwa mtu wa saikoloji ukimwangalia usoni ana utaahira fulaniHaliwezi kujiuzulu hadi litumbuliwe. Jinga sana hili jamaa.
Bashungwa,kwa mtu wa saikoloji ukimwangalia usoni ana utaahira fulani
Hii ni aibu kubwa kwa wizara husika kusogeza mbele muda mechi ya watani wa jadi Kati ya Simba vs yanga.
Waziri Bashungwa unapaswa kujiuzulu leo ndani ya masaa 24 kutokana na hali iliyotokea kwani hajui chochote kuhusu michezo, hajui kanuni za michezo.
Hivyo kusababisha adha hii.
Viongozi wa TFF ndiyo wakulaumiwa, wameshindwa kujua majukumu yao, hata kama waziri aliwaamuru hawakutakiwa kufuata ushauri wake.Hii ni aibu kubwa kwa wizara husika kusogeza mbele muda mechi ya watani wa jadi Kati ya Simba vs yanga.
Waziri Bashungwa unapaswa kujiuzulu leo ndani ya masaa 24 kutokana na hali iliyotokea kwani hajui chochote kuhusu michezo, hajui kanuni za michezo.
Hivyo kusababisha adha hii.