Waziri wa habari, utamaduni na michezo ajiuzulu kwa adha iliyotokea kusogezwa mbele muda mchezo wa yanga na simba

Waziri wa habari, utamaduni na michezo ajiuzulu kwa adha iliyotokea kusogezwa mbele muda mchezo wa yanga na simba

Hili jamaa ata ongea yake inaonyesha weledi hana, sijui kaupataje ata huo uwaziri ..
Mzee Sihaba au Rukhsa amesema amepata nafasi mbalimbali za uongozi lakini hajawahi tumia hongo,husda au uchawi lakini hao wengine wamepitia milango isiyosahihi ndio maana wanatenda tofauti
 
Naamini mpaka sasahvi waziri ashaandika barua ya kujiuzulu. Laiti ningekuwa raisi wa nchi hii.....waziri, naibu waziri, katibu, sijui na takataka gani nyingine wote wangeshaondoka wizarani. Haya yote ndio dalili ya uongozi wa SSH mtaona mengi, simuhukumu sana mama yetu lakini kunadalili fulani naiona ya kijinga sana inarudi kwa kasi
 
Huyu Mama yenu, ndio mnamaona mtu??

Mwanamke aliyeamua kuwapuuza mamilion ya watu sababu ya kashuguli kakijinga jinga

Mamaeee, likitabu la mtu jinsi alivyokua anaiba ,wizi n.k??

Pumbavu zenu Serikali ya Samia Suluhu na TFF .
 
I am equally surprised, kwenye mental state aliyonayo Mwinyi anaweza kuandika kitabu? Au ndio yaleyale ya bongo movie?
 
Mzee Sihaba au Rukhsa amesema amepata nafasi mbalimbali za uongozi lakini hajawahi tumia hongo,husda au uchawi lakini hao wengine wamepitia milango isiyosahihi ndio maana wanatenda tofauti
Kweli mkuu! Yani kila nikimuangalia sioni quality yoyote ya uongozi ndani yake ..
 
Sijui anasubiri nini kujiuzuru, inatia hasira kwa kweli
 
Naamini mpaka sasahvi waziri ashaandika barua ya kujiuzulu. Laiti ningekuwa raisi wa nchi hii.....waziri, naibu waziri, katibu, sijui na takataka gani nyingine wote wangeshaondoka wizarani. Haya yote ndio dalili ya uongozi wa SSH mtaona mengi, simuhukumu sana mama yetu lakini kunadalili fulani naiona ya kijinga sana inarudi kwa kasi
Usitegemee cha ziada awamu ya 6, Tegemea Mh. Kuvaa magauni mazuri na kwenda kujitambulisha Afrika nzima na Dunia kwa Ujumla huku akitembeza bakuli la kuomba misaada kila kukicha.
 
BASHUNGWA NA TFF yote wajouzulu..Hawatoshi
 
YANGA WANA AKILI sana...

WANAJITAMBUA....HAJI MANARA nadhani ujifunze kuelewa huu mpira kwa upana wake..Kuongea tu bila kujua umuhimu wa utaratibu wa sheria na kanuni zinazoongoza Mchezo na aziheshimu....
 
Raisi wetu, mama yetu SSH kama kunawakati wa kuonyesha kweli upo siriazi na maendeleo ya michezo Tanzania naamini Sasa hv unawaza ni nani atakuwa waziri, naibu waziri na katibu wa habari, sanaa na michezo.
 
Hawezi kuamua mwenyewe tu.

Kumbuka serikali yote ilikuwa kwenye uzinduzi wa kitabu.

Hata sponsor wa utopolo alikuwa kwenye uzinduzi huo.JK.
Mashabiki wote wa utopolo walikuwepo kwenye uzinduzi wa kitabu.Hiyo wizara yenyewe inaongozwa na hao hao.Au ni njama zao kumkimbia mnyama?

Kusema kweli utopolo nawaonaga hawana akili ila hii trick kwa kushirikiana na watu wenu serikalini mmetuweza leo.
Na hii yote ni dharau kwa Rais. Angekuwa Magu huu ujinga wa viongozi ku organize mambo kama haya usingekuwepo.
Hii ni aibu kubwa kwa wizara husika kusogeza mbele muda mechi ya watani wa jadi Kati ya Simba vs yanga.
Waziri Bashungwa unapaswa kujiuzulu leo ndani ya masaa 24 kutokana na hali iliyotokea kwani hajui chochote kuhusu michezo, hajui kanuni za michezo.
Hivyo kusababisha adha hii.
 
Viongozi wa TFF ndiyo wakulaumiwa, wameshindwa kujua majukumu yao, hata kama waziri aliwaamuru hawakutakiwa kufuata ushauri wake.
 
Waziri mwenyewe mdomo mzito akiongea je kwenye kufikiria atakua sahihi kweli?
 
Back
Top Bottom