Nduna shujaa Senior Member Joined Aug 14, 2022 Posts 163 Reaction score 134 Aug 29, 2022 #1 Baadhi ya wilaya wanaoenda kujiandikisha kupata kunufaika na pembejeo wanaambiwa wawe na laini ya Voda na wanatakiwa kupiga picha. Mh wWaziri wa Kilimo tunaomba ufafanuzi upya kuhusu utaratibu tafadhali kuna watu wanajifanya miungu watu huku mtaani.
Baadhi ya wilaya wanaoenda kujiandikisha kupata kunufaika na pembejeo wanaambiwa wawe na laini ya Voda na wanatakiwa kupiga picha. Mh wWaziri wa Kilimo tunaomba ufafanuzi upya kuhusu utaratibu tafadhali kuna watu wanajifanya miungu watu huku mtaani.
Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,197 Reaction score 4,525 Aug 29, 2022 #2 kama ni wilaya ina ccm wengi acha wapambane na hali zao.