Waziri wa Kilimo, anza na Bei ya Mbolea

Waziri wa Kilimo, anza na Bei ya Mbolea

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Posts
3,127
Reaction score
3,062
Refer to the heading above
Waziri wa kilimo ndugu Husein Bashe, wakulima tunalia na bei ya mbolea.
UREA mwaka jana bei ilikuwa Tsh 50,000/- kwa kilo 50 sasa ni 110,000/-
DAP ni 120,000/-
Kuna uwezekano mkubwa kushuka kwa uzalishaji wa mazao hasa huku nyanda za juu kusini maana ardhi hii bila mbolea huvuni kitu
 
Ata anza na chaneli za kupiga pesa kwanza, then hayo mengine ndo yataweza fata.
 
Hili ni suala gumu.aka ngumu kumeza.
 
Ata anza na chaneli za kupiga pesa kwanza, then hayo mengine ndo yataweza fata.
... umewaza vyema; ataanza kujipa vibali vya kuagiza mbolea kwanza hayo mengine mtajua wenyewe. Huyu sio mgeni kwenye hiyo wizara; alikuwa naibu sitegemei jipya la maana kutoka kwake.
 
Back
Top Bottom