REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Twendeni na mama 2025Nimeweka risiti hapa uone kibaya zaidi jambo hili linatokea Nzega hapa ndio wakulima humkumbuka Magufuli yani gunia moja linatozwa ushuru kweli yani mkulima alime mazao yake ya kula yeye na famila yake anaenda kuvuna wanasubilia njiani atozwe ushuru.
View attachment 2996852
Inafikilisha sana yani gunia moja ushuru sasa unawaza haya ni maamuzi ya baraza la madiwani na mkurugenzi wao au nani sema waanainchi wa nzega wanatakiwa wambiwe uchaguzi wa serikali za mitaa wawaonyeshe rangi tofauti na kijani na njano watawaheshimu otherwise wataendelea chezewa zaidi ya hapaTwendeni na mama 2025