Enzi na Enzi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 888
- 821
Kufuatia mauaji ya wachenjuaji wapatao wanne waliokatwa mapanga huko ntambalale kahama niwakati sasa wachimbaji wapewe hadhi yao katika kazi zao kwa kupewa ulinzi ktk maeneo yao yakazi.
Haiwezekani kila siku media zinawasifu wachimbaji wadogo kwa kuongeza mapato ya serikali lakini usalama wao uko mashakani siku zote.
Mchimbaji anachimba polini ambako hakuna ulinzi wowote wa police lakini napo akitaka kuchenjua anachenjulia polini kwa mujibu wa sheria za mazingira nahakuna ulinzi wowote.
Polisi wanalinda mitaa , vituo vya mafuta, mahoteli na makazi ya wananchi , nijambo zuri ila tunaomba vituo vya police maeneo yote ya uchenjuaji au zipangiwe walinzi wa police kama wanavyosambazwa kwenye mabenki.
Wachimbaji tunastahili kupewa ulinzi wa police bila kuchajiwa chochote kwa maana tunachangia pato kubwa sana ktk mfuko mkuu wa serikali.
Nawasilisha.
Enzi na Enzi.