Tetesi: Waziri wa madini: Serikali ya Tanzania imepewa share 0% umiliki wa leseni ambazo serikali ilishitakiwa na kulipa mabilioni huko Shanta mining.

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining.

Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea:

  • Uhamisho wa leseni haukuendana na sheria: Huenda sheria za Tanzania zinahitaji serikali kuwa na hisa fulani katika kampuni za madini, na uhamisho huu haukufuata sheria hizo.
  • Kutokuwa na uwazi: Huenda kulikuwa na kutokuwa na uwazi katika mchakato wa uhamisho wa leseni, na serikali haikujua kuhusu uhamisho huu hadi baadaye.
  • Unyanyasaji wa madaraka: Huenda kuna watu binafsi au makundi ambayo yametumia nafasi yao ya madaraka kuhakikisha kwamba Shantea Mining inapata leseni hizi bila kufuata sheria.

Ujumbe wa "Waziri Kabudi fuatilia hapa serikali ya Tanzania tumepigwa na kitu kizito" unaonyesha kwamba watu wana wasiwasi kuhusu uhamisho huu na wanataka serikali ichukue hatua.

Kuhusu leseni:

ML 750/2024, ML 751/2024, ML 752/2024 na ML 753/2024:** Hizi ni namba za leseni za madini ambazo zilikuwa zinamilikiwa na Bafex Mining kama retention licenses na sasa zimehamishiwa kwa Shanta Mining mining licences.
(Bafex Tanzania Ltd) RL 0009/2014, RL 0010/2014, RL 0011/2014, RL 0012/2014)
Inahitaji uchunguzi zaidi kupata taarifa sahihi kuhusu kile kilichotokea.

Tulitarajia serikali iwe na share kwenye umiliki wa hizo leseni ila imekuwa kinyume chake.

Tunaomba tuelezwe ,kwanini serikali haikupewa share hata kidogo kwa ilivyo geita gold mines na barrick.

Kuna wakati watu waliandika jinsi yule aliyepewa cheo ambacho hakipo kwenye katiba alivyokuwa corrupt, na namna alivyokuwa akkhakikisha kila
Mapato yake haramu anayagawa kwa watu waliokuwa karibu na ofisi kuu kuhakilisha haondolewi.

Kukiundwa kamati ya uchunguzi kutafichua madudu ya ajabu aliyoyafanya alipokuwa kwenye wizara hii. Makampuni mengi ya kigeni ambayo hayakuweza kumfaidisha yaliporwa leseni zao, akawagawia watusi wenzake ambapo wametajirika kupindukia kwa muda mfupi kupitia uharamia uliokuwa ukifanyika. Familia ya marehemu mengi ni miongoni mwa waliofanyiwa uharamia huo.
 
Inashangaza kuna wajinga wanaoamini kuwa jamaa yule ni msukuma.
 
Kuna wakati watu waliandika jinsi yule aliyepewa cheo ambacho hakipo kwenye katiba alivyokuwa corrupt, na namna alivyokuwa akkhakikisha kila
Mapato yake haramu anayagawa kwa watu waliokuwa karibu na ofisi kuu kuhakilisha haondolewi.

Kukiundwa kamati ya uchunguzi kutafichua madudu ya ajabu aliyoyafanya alipokuwa kwenye wizara hii. Makampuni mengi ya kigeni ambayo hayakuweza kumfaidisha yaliporwa leseni zao, akawagawia watusi wenzake ambapo wametajirika kupindukia kwa muda mfupi kupitia uharamia uliokuwa ukifanyika. Familia ya marehemu mengi ni miongoni mwa waliofanyiwa uharamia huo.
Hizi taarifa nimewahi kusizikia tena kutoka kwa kigogo mkubwa wa sekta hiyo ambaye bado yumo mpaka sasa. kajamaa ni kamafia kinoma.
 
Mungu anatumia muda mwingi ku-alchemize materials za kwenye ardhi ya Tanzania ili ziwe dhahabu au madini mbalimbali kwa ajili ya kutunufaisha watanganyika hasa wananchi ili tufaidi mema ya nchi yetu.

Serikali ya ccm iache tabia ya kumilikisha madini ya Tanganyika kufaidisha wageni . Kama kuna mkataba unaohusiana na madini ya Tanganyika ambao serikali inatarajia kusaini tena , namshauri rais Samia asitishe , yeye na serikali yake wasisaini mkataba wowote mpya unaohusiana na madini.

Kutokana na maono kutoka mbinguni, anguko la serikali ya Samia linalo jidhihirisha ; litatokana na makosa wanayoyafanya na watakayoyafanya kwenye sekta ya madini .
 
Shanta mining imepewa Jimbo lote la chunya na Lupa kuchimba madini, na serikali inapewa share 0% .

Cha kushangaza retention license Moja wamegawana wakubwa, Takukuru,TISS, watumishi wa tume ya madini na wafanya biashara wakubwa, wametoa huko Primary mining license zao.

Kwa hali hii, wananchi wa mbeya hawapi kwenye kauli ya mitano Tena na Cha kushangaza Tulia ni mbunge,spika na mwanasheria ila mkoa wambeya unapigwa akiwemi Tena mchana peupe
 
Serikali yapata 0% kwenye kampuni ya uchimbaji madini ambayo imewahi kuishtaki serikali hiyo hiyo na kulipwa fidia ya mabilioni...!?

Ni kwamba wanaosimamia hayo makubaliano hawana ufahamu wowote ule na wanakuwepo pale kama ushaidi au? Halafu tukisema kwamba hii nchi sasa hivi iko kwenye mikono ya madalali mnakaza shingo.
 
Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining.

Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea:

  • Uhamisho wa leseni haukuendana na sheria: Huenda sheria za Tanzania zinahitaji serikali kuwa na hisa fulani katika kampuni za madini, na uhamisho huu haukufuata sheria hizo.
  • Kutokuwa na uwazi: Huenda kulikuwa na kutokuwa na uwazi katika mchakato wa uhamisho wa leseni, na serikali haikujua kuhusu uhamisho huu hadi baadaye.
  • Unyanyasaji wa madaraka: Huenda kuna watu binafsi au makundi ambayo yametumia nafasi yao ya madaraka kuhakikisha kwamba Shantea Mining inapata leseni hizi bila kufuata sheria.

Ujumbe wa "Waziri Kabudi fuatilia hapa serikali ya Tanzania tumepigwa na kitu kizito" unaonyesha kwamba watu wana wasiwasi kuhusu uhamisho huu na wanataka serikali ichukue hatua.

Kuhusu leseni:

ML 750/2024, ML 751/2024, ML 752/2024 na ML 753/2024:** Hizi ni namba za leseni za madini ambazo zilikuwa zinamilikiwa na Bafex Mining kama retention licenses na sasa zimehamishiwa kwa Shanta Mining mining licences.
(Bafex Tanzania Ltd) RL 0009/2014, RL 0010/2014, RL 0011/2014, RL 0012/2014)
Inahitaji uchunguzi zaidi kupata taarifa sahihi kuhusu kile kilichotokea.

Tulitarajia serikali iwe na share kwenye umiliki wa hizo leseni ila imekuwa kinyume chake.

Tunaomba tuelezwe ,kwanini serikali haikupewa share hata kidogo kwa ilivyo geita gold mines na barrick.

Patels are in India. Patels are in New York. Patels are in UK and Canada 😎 😎 😎 😎 😎 😎
Ila wapo wengine kina siye
 
Shanta mining imepewa Jimbo lote la chunya na Lupa kuchimba madini, na serikali inapewa share 0% .

Cha kushangaza retention license Moja wamegawana wakubwa, Takukuru,TISS, watumishi wa tume ya madini na wafanya biashara wakubwa, wametoa huko Primary mining license zao.

Kwa hali hii, wananchi wa mbeya hawapi kwenye kauli ya mitano Tena na Cha kushangaza Tulia ni mbunge,spika na mwanasheria ila mkoa wambeya unapigwa akiwemi Tena mchana peupe
TAKUKURU
Polisi
TISS
JWTZ
Ndiyo mikono, misuli na masikio ya CCM

Wanawalinda watawala hata kama nchi itauzwa, wao wanaishi na kiapo cha siri baina yao na CCM.

Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati, na hakuna kitakachosimama mbele yake
 
Taarifa hii inaonyesha kuwa kuna utata katika uhamisho wa leseni za madini kutoka kampuni ya Bafex Mining kwenda Shanta Mining.

Hapa kuna mambo machache ambayo yanaweza kutokea:

  • Uhamisho wa leseni haukuendana na sheria: Huenda sheria za Tanzania zinahitaji serikali kuwa na hisa fulani katika kampuni za madini, na uhamisho huu haukufuata sheria hizo.
  • Kutokuwa na uwazi: Huenda kulikuwa na kutokuwa na uwazi katika mchakato wa uhamisho wa leseni, na serikali haikujua kuhusu uhamisho huu hadi baadaye.
  • Unyanyasaji wa madaraka: Huenda kuna watu binafsi au makundi ambayo yametumia nafasi yao ya madaraka kuhakikisha kwamba Shantea Mining inapata leseni hizi bila kufuata sheria.

Ujumbe wa "Waziri Kabudi fuatilia hapa serikali ya Tanzania tumepigwa na kitu kizito" unaonyesha kwamba watu wana wasiwasi kuhusu uhamisho huu na wanataka serikali ichukue hatua.

Kuhusu leseni:

ML 750/2024, ML 751/2024, ML 752/2024 na ML 753/2024:** Hizi ni namba za leseni za madini ambazo zilikuwa zinamilikiwa na Bafex Mining kama retention licenses na sasa zimehamishiwa kwa Shanta Mining mining licences.
(Bafex Tanzania Ltd) RL 0009/2014, RL 0010/2014, RL 0011/2014, RL 0012/2014)
Inahitaji uchunguzi zaidi kupata taarifa sahihi kuhusu kile kilichotokea.

Tulitarajia serikali iwe na share kwenye umiliki wa hizo leseni ila imekuwa kinyume chake.

Tunaomba tuelezwe ,kwanini serikali haikupewa share hata kidogo kwa ilivyo geita gold mines na barrick.

Haya majangili yamejiwekea kinga yasishitakiwe yaibe vizuri mali za umma
 
TAKUKURU
Polisi
TISS
JWTZ

Ndiyo mikono, misuli na masikio ya CCM

Wanawalinda watawala hata kama nchi itauzwa, wao wanaishi na kiapo cha siri baina yao na CCM.

Tuendelee kuomba Mungu aingilie kati, na hakuna kitakachosimama mbele yake
Haya yote ni uozo tupu afadhali ya UVCCM
 
Back
Top Bottom