Waziri wa Mafuta wa Iran Mohsen Paknejad amejiuzulu rasmi!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waziri wa Mafuta wa Iran Mohsen Paknejad amejiuzulu leo, huku Rais Masoud Pezeshkian akikubali kujiuzulu kwake na kumteua mkuu wa Kampuni ya Kitaifa ya Mafuta ya Iran Hamid Bovard kama kaimu waziri wa mafuta.

Hakuna sababu rasmi iliyotolewa kwa kuondoka kwa Paknejad, lakini hii inakuja huku sekta muhimu ya mafuta ya Iran na uchumi mpana ukikabiliwa na shinikizo kubwa kutokana na mzozo unaoendelea, usumbufu wa usafirishaji nje na vikwazo.
 
Hilo si jambo geni, labda kama kuna agenda unaisukuma
 
Hawezi tu akajiuzulu bila sababu lazima kuna sababu hasa ikizingatiwa kwamba Iran iko katika wakati mgumu sana kimapato na hela yao imekuwa ni karatasi tu.
 
Waziri wa Mafuta wa Iran Mohsen Paknejad amejiuzulu leo, huku Rais Masoud Pezeshkian akikubali kujiuzulu kwake na kumteua mkuu wa Kampuni ya Kitaifa ya Mafuta ya Iran Hamid Bovard kama kaimu waziri wa mafuta.

Hakuna sababu rasmi iliyotolewa kwa kuondoka kwa Paknejad, lakini hii inakuja huku sekta muhimu ya mafuta ya Iran na uchumi mpana ukikabiliwa na shinikizo kubwa kutokana na mzozo unaoendelea, usumbufu wa usafirishaji nje na vikwazo.

Usumbufu gani wkt tayali Iranian ilikuwa Chini ya Vikwazo vikali vya Marekani
kabla hata ya Vita yasasa!!!!
 
Huu ndio uwajibikaji sasa Safi sana muheshmiwa
Iran kamatieni hapo hapo mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom