PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuwalipisha wananchi bili za maji kwa kuzingatia uhalisia wa upatikanaji wa huduma, hususan katika maeneo yanayokabiliwa na changamoto ya maji.
Waziri Aweso ametoa maelekezo hayo leo, Januari 28, 2026, jijini Dodoma wakati wa Mkutano wa Waandishi wa Habari, akisisitiza kuwa si haki kwa wananchi kulipishwa bili zisizolingana na huduma wanayoipata.