Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Mimi kama mama. Naomba waziri waa mbie waache visa vyao, wanapogombana wao kwa wao anayeumia ni mama. Wasichana wadogo wanabakwa, wakinamama tunadhalilika. Jamani tuoneeni huruma mpate uongofu wa Mungu.
Hawa watu waache kumtesa mwanamke. Imetosha baasi.
Haiwezekani nadamka asb kuchota maji, naagiza boda apeleke maji nyumbani kuna watoto akiwabaka?
Nahangaika jioni kusaka maji hiki ni kitu gani jamani
=> Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini
=> Dar: Maeneo ya Segerea hadi Kinyerezi hakuna Maji
=> Tabata Bonyokwa hatujaona tone la maji wiki ya tano sasa, DAWASA mnatuona manyani?
=> DAWASA, Segerea kuna mgao wa maji kimyakimya? Wiki ya pili mitaani hakuna maji!
=> Kinyerezi kuna shida kubwa ya maji, group la DAWASA WhatsApp halifanyi chochote kutatua kero hii
=> DAWASA wanauza maji kwa njia ya magari Kinyerezi wakati Mabomba hayatoi maji