KERO Waziri wa Maji jitokeze huko uliko uagize Tabata Kinyerezi wafunguliwe maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Leo asb katika kipindi cha Station moja ya redio nilishuhudia wanachi wa saranga wakivutana na chama cha Mapinduzi ngazi za chini-nadhani kuna conflict hapo. Sasa wasitungize ssisi raia. Tunamuamini mama samia. Wamuache afsnye kazi. Tunaomba huduma ya maji baaasi
Kuna conflict kubwa huku mitaani kati ya viongozi wa ccm wa mitaani na raia,mfano kuna mitaa barabara zimeharibika vibaya sababu ya mvua hasa jimbo la kibamba na ubungo,tarura hawana mpango wa kurekebisha hizo barabara,baadhi ya maeneo wananchi wamejichangisha wenyewe ili tu wazibe hata mashimo kupunguza makali ya ubovu wa barabara,ccm hawataki wananchi wafanye hivyo,tena ukijitia kiherehere wanaona unataka kugombea uenyekiti wa serikali ya mtaa!
 
Viongozi wa chini wa Chama Cha Mapinduzi ndio wamezuia maji kutoka au sijaelewa chanzo cha ugomvi huo mkuu?
 
Kuna conflict kubwa huku mitaani kati ya viongozi wa ccm wa mitaani na raia,mfano kuna mitaa barabara zimeharibika vibaya sababu ya mvua hasa jimbo la kibamba na ubungo,tarura hawana mpango wa kurekebisha hizo barabara,baadhi ya maeneo wananchi wamejichangisha wenyewe ili tu wazibe hata mashimo kupunguza makali ya ubovu wa barabara,ccm hawataki wananchi wafanye hivyo,tena ukijitia kiherehere wanaona unataka kugombea uenyekiti wa serikali ya mtaa!
Aisee ni Mtaa upi huo mkuu
 
Mimi kama mama. Naomba waziri waa mbie waache visa vyao, wanapogombana wao kwa wao anayeumia ni mama. Wasichana wadogo wanabakwa, wakinamama tunadhalilika. Jamani tuoneeni huruma mpate uongofu wa Mungu.

Hawa watu waache kumtesa mwanamke. Imetosha baasi.

Haiwezekani nadamka asb kuchota maji, naagiza boda apeleke maji nyumbani kuna watoto akiwabaka?

Nahangaika jioni kusaka maji hiki ni kitu gani jamani
Kwa nini mnaishi mashenzini huko?
 
Kuna conflict kubwa huku mitaani kati ya viongozi wa ccm wa mitaani na raia,mfano kuna mitaa barabara zimeharibika vibaya sababu ya mvua hasa jimbo la kibamba na ubungo,tarura hawana mpango wa kurekebisha hizo barabara,baadhi ya maeneo wananchi wamejichangisha wenyewe ili tu wazibe hata mashimo kupunguza makali ya ubovu wa barabara,ccm hawataki wananchi wafanye hivyo,tena ukijitia kiherehere wanaona unataka kugombea uenyekiti wa serikali ya mtaa!

Nakuamini asilimia 100.

Hii ndio akili halisi ya mtanzania. Ubinafsi kwetu umekua zaidi ya ugonjwa, ni kilema.
 
Ukosefu wa umeme, maji na sukari ndio maana halisi ya kuupiga mwingi.
Sasa hivi wanaandaa ukosefu wa dizel na petroli ili mtie akili mwe vichwa vyenu.
 
Back
Top Bottom