KERO Waziri wa Maji jitokeze huko uliko uagize Tabata Kinyerezi wafunguliwe maji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuna conflict kubwa huku mitaani kati ya viongozi wa ccm wa mitaani na raia,mfano kuna mitaa barabara zimeharibika vibaya sababu ya mvua hasa jimbo la kibamba na ubungo,tarura hawana mpango wa kurekebisha hizo barabara,baadhi ya maeneo wananchi wamejichangisha wenyewe ili tu wazibe hata mashimo kupunguza makali ya ubovu wa barabara,ccm hawataki wananchi wafanye hivyo,tena ukijitia kiherehere wanaona unataka kugombea uenyekiti wa serikali ya mtaa!
 
Viongozi wa chini wa Chama Cha Mapinduzi ndio wamezuia maji kutoka au sijaelewa chanzo cha ugomvi huo mkuu?
 
Aisee ni Mtaa upi huo mkuu
 
Kwa nini mnaishi mashenzini huko?
 


Nakuamini asilimia 100.

Hii ndio akili halisi ya mtanzania. Ubinafsi kwetu umekua zaidi ya ugonjwa, ni kilema.
 
Ukosefu wa umeme, maji na sukari ndio maana halisi ya kuupiga mwingi.
Sasa hivi wanaandaa ukosefu wa dizel na petroli ili mtie akili mwe vichwa vyenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…