Waziri wa Maji Juma Aweso, Dodoma Jiji hakuna maji zaidi ya wiki

Waziri wa Maji Juma Aweso, Dodoma Jiji hakuna maji zaidi ya wiki

Kitchener

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
13,833
Reaction score
27,753
Nimetembelea familia Dodoma for a week sijaamini nilichokikuta Ilazo na maeneo mengi hakuna maji wiki nzima.

Hivi mnataka wake zetu waishije hapo Dodoma? maeneo ya Ilazo, swaswa hadi kisasa naambiwa ni hali hiyo.

Najua Ilazo extension ndio kule kwa mkewe mmojawapo, kule nako maji hamna au ni huku kwetu sisi tu?
 
Nimetembelea familia Dodoma for a week,sijaamini nilichokikuta.Ilazo na maeneo mengi hakuna maji wiki nzima. hivi, mnataka wake zetu waishije hapo dodoma? maeneo ya Ilazo, swaswa hadi kisasa naambiwa ni hali hiyo. najua Ilazo extension ndio kule kwa mkewe mmojawapo, kule nako maji hamna au ni huku kwetu sisi tu?
Kuna malalamiko ya maji kwenye Whatsapp jukwaa la Wateja wa Duwasa hakuna wanaowapongeza!Ni malalamiko kila siku.
 
Yuko biz na wake zake, kunywa chai na vitumbua! Huku kiyoyozi kikimpuliza taratibu!
 
Nimetembelea familia Dodoma for a week sijaamini nilichokikuta Ilazo na maeneo mengi hakuna maji wiki nzima.

Hivi mnataka wake zetu waishije hapo dodoma? maeneo ya Ilazo, swaswa hadi kisasa naambiwa ni hali hiyo.

Najua Ilazo extension ndio kule kwa mkewe mmojawapo, kule nako maji hamna au ni huku kwetu sisi tu?
Mbona huku msalato yapo ya kumwagika
 
imagine, jiji halina maji, watu wanaosha vyombo, wanaoga, wanapika, wanaenda msalani. bila maji si ndio vipindupindu kwenye makao makuu ya nchi? hiyi huyo dogo anajielewa kweli au amelewa sifa za mama.
 
kitu cha ajabu ni kwamba, baada ya kumsema hapa, nimepigiwa simu kwamba maji yanatoka hadi sasaivi tena mengi. which means, wanafanya makusudi, au mgawaji wa maji ndio wale wanapewa pesa na kuambiwa fungulia mgao mtaa huu wakati mitaa mingine hadi zaidi ya wiki haina maji. nashauri DUWASA sijui itakuwa DOWASA fanyeni uchunguzi wa hao watu wengi wanaofungulia maji kwa mgao, kuna uwezekano mkubwa wanapewa pesa na baadhi ya mitaa ili yatoke au kuna dhurma fulani inafanywa. inakuwaje tulipowasema tu ndio maji mmeleta? hivi wabongo hamuwezi kufanya kazi kwa weledi hadi msemwe?mkibania maji mtayapeleka wapi? mtakunywa mimaji yenyewe ya huko dodoma kwenu ni ya chumvi tu, mbona mna roho ya adui shetani sana aisee?
 
Mtu ana wake wawili at that age,unategemea kuna ufanisi wowote wa kazi hapo zaidi ya kuwaza ngono 24/7?
 
Nimetembelea familia Dodoma for a week sijaamini nilichokikuta Ilazo na maeneo mengi hakuna maji wiki nzima.

Hivi mnataka wake zetu waishije hapo dodoma? maeneo ya Ilazo, swaswa hadi kisasa naambiwa ni hali hiyo.

Najua Ilazo extension ndio kule kwa mkewe mmojawapo, kule nako maji hamna au ni huku kwetu sisi tu?
Ngoja tikamilishe idadi yaabango na machawa titalimaliza hilo tatizo, ni dogo sana kwetu.
 
Mtu ana wake wawili at that age,unategemea kuna ufanisi wowote wa kazi hapo zaidi ya kuwaza ngono 24/7?
ufanisi upo, mbona tulipojadili hapa tu, nadhani kawapigia simu vijana wake kule dodoma kuwauliza kuna nini huko? vijana wameachia maji tayari. tuseme nini sasa hapo?
 
Back
Top Bottom