Kuna malalamiko ya maji kwenye Whatsapp jukwaa la Wateja wa Duwasa hakuna wanaowapongeza!Ni malalamiko kila siku.Nimetembelea familia Dodoma for a week,sijaamini nilichokikuta.Ilazo na maeneo mengi hakuna maji wiki nzima. hivi, mnataka wake zetu waishije hapo dodoma? maeneo ya Ilazo, swaswa hadi kisasa naambiwa ni hali hiyo. najua Ilazo extension ndio kule kwa mkewe mmojawapo, kule nako maji hamna au ni huku kwetu sisi tu?
Mbona huku msalato yapo ya kumwagikaNimetembelea familia Dodoma for a week sijaamini nilichokikuta Ilazo na maeneo mengi hakuna maji wiki nzima.
Hivi mnataka wake zetu waishije hapo dodoma? maeneo ya Ilazo, swaswa hadi kisasa naambiwa ni hali hiyo.
Najua Ilazo extension ndio kule kwa mkewe mmojawapo, kule nako maji hamna au ni huku kwetu sisi tu?
Huku maji full kabisamsalato nadhani mpo karibu na walipoyategeshea, hata veyula. pia huko kuna makao makuu ya JWTZ na wengine.
Ngoja tikamilishe idadi yaabango na machawa titalimaliza hilo tatizo, ni dogo sana kwetu.Nimetembelea familia Dodoma for a week sijaamini nilichokikuta Ilazo na maeneo mengi hakuna maji wiki nzima.
Hivi mnataka wake zetu waishije hapo dodoma? maeneo ya Ilazo, swaswa hadi kisasa naambiwa ni hali hiyo.
Najua Ilazo extension ndio kule kwa mkewe mmojawapo, kule nako maji hamna au ni huku kwetu sisi tu?
ufanisi upo, mbona tulipojadili hapa tu, nadhani kawapigia simu vijana wake kule dodoma kuwauliza kuna nini huko? vijana wameachia maji tayari. tuseme nini sasa hapo?Mtu ana wake wawili at that age,unategemea kuna ufanisi wowote wa kazi hapo zaidi ya kuwaza ngono 24/7?