Waziri wa Maji Jumaa Aweso asema anapowatazama wake zake huwa anapata furaha ya kipekee!

Ila
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amelieleza Bunge kuwa anapowatazama wake zake roho yake inapata furaha ya kipekee jambo linalosababisha kufanya kazi zake kwa kujituma na kujitoa.

Kauli hiyo ameitoa bungeni leo Ijumaa Mei 10, 2024 wakati akianza kujibu hoja za wabunge waliochangia mjadala wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2024 / 25.

Aweso amesema: “Mimi nimeona nijipe wawili ndio maana unaniona ninakiwalaza kwa namna ya kipekee, nishukuru sana familia yangu, wake zangu wapendwa kabisa namuona pale mke wangu mpendwa Kauthar Francis Tarimo lakini pia Zainab Abdallah Issa.”

“Mimi Mheshimiwa Spika (Dk Tulia Ackson) nikiwaona hawa roho yangu baridiii," amesema Aweso.

View attachment 2986835

(Picha, habari na Edwin Mjwahuzi)
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Ila inaonekana hawana Raha. Mmoja nilisoma Nate alikuwa hajatulia
 
Kumbe Alivunja Unyumba Wa Watu
Screenshot_20240510_215022_Chrome.jpg

Aliivunja hii ndoa. DC alimruhusu mumewe kuoa, kumbe ilikuwa gia ya kumuacha, akaibukia kwa Juma
 
Ila cameraman hukuwaambia ata waseme peps ili picha zitoke wanetabasam,usiseme ulikua mbali
 
Safi sana huyu ndio mwanaume sio una michepuko alafu inajificha eti unajiona shababi ... Rijali anawapanga na kutembea nao kifua mbele ..
 
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amelieleza Bunge kuwa anapowatazama wake zake roho yake inapata furaha ya kipekee jambo linalosababisha kufanya kazi zake kwa kujituma na kujitoa.

Kauli hiyo ameitoa bungeni leo Ijumaa Mei 10, 2024 wakati akianza kujibu hoja za wabunge waliochangia mjadala wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2024 / 25.

Aweso amesema: “Mimi nimeona nijipe wawili ndio maana unaniona ninakiwalaza kwa namna ya kipekee, nishukuru sana familia yangu, wake zangu wapendwa kabisa namuona pale mke wangu mpendwa Kauthar Francis Tarimo lakini pia Zainab Abdallah Issa.”

“Mimi Mheshimiwa Spika (Dk Tulia Ackson) nikiwaona hawa roho yangu baridiii," amesema Aweso.

View attachment 2986835

(Picha, habari na Edwin Mjwahuzi)
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Na ile nyumba ndogo je?
 
Kodi zetu wanazogawana kwa urefu wa kamba zao zimemgeuza mchaga Kauthar Tarimo kuonekana kama katoka Oman.
 
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amelieleza Bunge kuwa anapowatazama wake zake roho yake inapata furaha ya kipekee jambo linalosababisha kufanya kazi zake kwa kujituma na kujitoa.

Kauli hiyo ameitoa bungeni leo Ijumaa Mei 10, 2024 wakati akianza kujibu hoja za wabunge waliochangia mjadala wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2024 / 25.

Aweso amesema: “Mimi nimeona nijipe wawili ndio maana unaniona ninakiwalaza kwa namna ya kipekee, nishukuru sana familia yangu, wake zangu wapendwa kabisa namuona pale mke wangu mpendwa Kauthar Francis Tarimo lakini pia Zainab Abdallah Issa.”

“Mimi Mheshimiwa Spika (Dk Tulia Ackson) nikiwaona hawa roho yangu baridiii," amesema Aweso.

View attachment 2986835

(Picha, habari na Edwin Mjwahuzi)
#mwananchiupdates
#tunaliwezeshataifa
Apo n hela inaongea aongeze wawe 4
 
Atakuwa anqchapiwa tu hiyo mishanhazi huwa ina wivi haipendi kupangiwa ratiba
 
Back
Top Bottom