peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ameandika elfu 10 siyo milioni 10
Na timu yenyewe ije na majembe na sururu za kuchimbia choo,na hayo maji ya mercury wanayapata wapi? Hivi hata kuchimba choo ni hadi timu ya mawaziri ifunge safari kuja huko? Mawaziri si wangeshakufa kwa uchovu wa kuzunguka nchi nzima kufanya kazi za vyoo tu?Ujumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC chunya, DeD chunya,.
Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo , vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo.
Kijiji hichobkina zaidi ya watanzania 10,000 na huwezi , kuamini Hana maji na hakuna vyoo.
Watu wanajisaidia porini na hakuna maji safi na salama.
Timu ya mawaziri ifike Kijiji hicho wakiwemo, waziri wa afya, waziri wa elimu, waziri wa mazingira , waziri wa ujenzi na waziri wa madini.
Okey
Maji ya Mercury wanayapata kwenye mashimo, ambayo yanatokana na uchimbaji wa madini ya dhahabu.Na timu yenyewe ije na majembe na sururu za kuchimbia choo,na hayo maji ya mercury wanayapata wapi? Hivi hata kuchimba choo ni hadi timu ya mawaziri ifunge safari kuja huko? Mawaziri si wangeshakufa kwa uchovu wa kuzunguka nchi nzima kufanya kazi za vyoo tu?
Wanachangia mapato makubwa kwa serikali, lakini mapato wanayochangia yanaenda kufanya kazi kwingineUjumbe huu, umfikie Mkuu wa mkoa wa Mbeya, DC Chunya, DeD chunya,.
Mh Jumaa aweso, ukifika Fanya ukaguzi wa neo Hilo, vifo ni vingi sana na hakuna mtu wa kukuambia Hali ya eneo Hilo.
Kijiji hicho kina zaidi ya watanzania 10,000 na huwezi kuamini hakunana maji na hakuna vyoo.
Watu wanajisaidia porini na hakuna maji safi na salama.
Timu ya mawaziri ifike Kijiji hicho wakiwemo, waziri wa afya, waziri wa elimu, waziri wa mazingira , waziri wa ujenzi na waziri wa madini.
Wanakunya machakani bila kua na Maji hao 10,000 watakua ni Marehemu hapo unazungumzia wafu 10,000 Maji ni Uhai bila Maji wewe ni MarehemuKijiji hicho kina zaidi ya watanzania 10,000 na huwezi kuamini hakunana maji na hakuna vyoo.
Kwingine wapi? Ahela Madukani?Wanachangia mapato makubwa kwa serikali, lakini mapato wanayochangia yanaenda kufanya kazi kwingine
Hili la kukosa vyoo nalo linashughulikiwa na waziri wa maji?Watu wanajisaidia porini na hakuna maji safi na salama.
Choo bila Maji ulisikia Wapi?Hili la kukosa vyoo nalo linashughulikiwa na waziri wa maji?
Ukitawaza na maji ya mercury hakuna shida.Choo bila Maji ulisikia Wapi?
Wewe unaweza kutawaza na Maji ya Sulphur?Ukitawaza na maji ya mercury hakuna shida.
Sasa kama wanakunywa watashindwa kutawazia? Kukosa vyoo ni suala linaloashiria ukomavu wa ujima wa jamii za huko.Wewe unaweza kutawaza na Maji ya Sulphur?
Hawana viongozi kwani huko?Sasa kama wanakunywa watashindwa kutawazia? Kukosa vyoo ni suala linaloashiria ukomavu wa ujima wa jamii za huko.
Madai kuhusu maji safi na salama ya kunywa Lina maana, lkn hili la kukisaidia maporini ni ujima na ujinga.
Jimbo la chunya liko wazi.ila mbunge aliyeko Ni CCM.Mbunge wa huko ni nani?