peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
- Thread starter
- #21
Huko ni SAWA na hakuna uongozi.Hawana viongozi kwani huko?
Hakuna ofisi za serikali mfano:
Kituo cha polish hakuna
Shule ya sekondari hakuna
Barbara haikuwepo imetengeneswa juzi
Mochari hakuna. Kuna zahanati isiyo na dawa wa Daktari
Unywaji wa maji yaliyochafuliwa kutoka kwenye mashimo ya dhahabu ni suala la kuelimishana tu mpendwa. Je, waziri akija ndo atashika fimbo/bakora kuwazuia? Inafikirisha.