KERO Waziri wa Maji, Jumaa Aweso fika wilaya ya Chunya, kata ya Makongorosi, kijiji cha Itumbi, wananchi wanakunywa maji yenye sumu ya Mercury

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hawana viongozi kwani huko?
Huko ni SAWA na hakuna uongozi.
Hakuna ofisi za serikali mfano:
Kituo cha polish hakuna
Shule ya sekondari hakuna
Barbara haikuwepo imetengeneswa juzi
Mochari hakuna. Kuna zahanati isiyo na dawa wa Daktari
 
Ajekuyasafisha ama waache wapungue banaa
 
Mkuu mbona unalikuza hili jambo dogo lionekane kama ni jambo kuuubwa?
Unamfikiaje waziri kabla hujaenda hata kwa Mtendaji kijiji? Unendaje kwa Waziri hata kabla hujaenda kwa DED au kwa Mkuu wako wa Mkoa? Mbunge wako hiyo ndo nafasi yake - vp haonekani kuwapambania?
Lakini hoja ya wanakijiji kunya porini inamhitaji waziri kweli?? Unywaji wa maji yaliyochafuliwa kutoka kwenye mashimo ya dhahabu ni suala la kuelimishana tu mpendwa. Je, waziri akija ndo atashika fimbo/bakora kuwazuia? Inafikirisha.
 
Wanakunya machakani mlipuko wa magonjwa nje nje
 
Huko ni SAWA na hakuna uongozi.
Hakuna ofisi za serikali mfano:
Kituo cha polish hakuna
Shule ya sekondari hakuna
Barbara haikuwepo imetengeneswa juzi
Mochari hakuna. Kuna zahanati isiyo na dawa wa Daktari
Taja panaitwaje vizuri Kijiji gani, kitongojigani, mtaa gani, Kata gani, Wilaya gani na Mkoa gani ili kusudi wenye Ndugu zao waone namna ya kuwasaidia huko walipo
 
Wanakunya machakani mlipuko wa magonjwa nje nje
Inasikitisha sana ila wanafanya hivyo kwa hiari yao au mazingira ndo yanalazimisha iwe hivyo?
Wapewe tahadhari na waelimishwe madhara ya kujisaidia machakani i.e. Uhusiano uliopo kati ya magonjwa yanayowaandama na kitendo cha kunya machakani na pia unywaji wa maji machafu kutoka kwenye mashimo ya dhahabu na kwingineko bila kuzingatia tahadhari.
 
Taja panaitwaje vizuri Kijiji gani, kitongojigani, mtaa gani, Kata gani, Wilaya gani na Mkoa gani ili kusudi wenye Ndugu zao waone namna ya kuwasaidia huko walipo
Nakazia hoja.
 
Taja panaitwaje vizuri Kijiji gani, kitongojigani, mtaa gani, Kata gani, Wilaya gani na Mkoa gani ili kusudi wenye Ndugu zao waone namna ya kuwasaidia huko walipo
Kijiji cha itumbi, mji mdogo wa makongorosi,kata ya Matundasi, wilaya ya chunya,mkoa wa Mbeya ,nchini Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…