Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
Wakuu habari zenu!
Sasa hv kila kona ya Dar-es-salaam ukipita unaona hali ni mbaya mno katika upatikanaji wa Maji safi na salama. Jiji la Dar-es-salaam halina mito ya asili ambayo inaweza kuwa ni mkombozi wa upatikanaji wa maji kama ilivyo kwa mikoa mingine.
Hali ni mbaya mno, wananchi wanahaha kutafuta maji kila kona lakini bado hawayapati. Swali langu linaenda katika wizara ya maji na umwagiliaji chini ya Mh.Jumaa Hamidu Aweso,
Wananchi wa Dar-es-salaam wanateseka sana, Je wewe kama waziri mwenye dhamana ya wizara ya maji, Ni lini huduma ya upatikanaji wa maji safi na salama itarejea jijini Dar-es-salaam?
Na wakati wananchi wanasubiri utejeaji wa huduma hiyo, nyinyi kama serikali mmefanya jitihada gani kuhakikisha mnapunguza makali ya adha hii?
Asante, Naomba kuwasilisha wakuu.