peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Waziri wa maliasili na utalii kuna ujumbe wako hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa naona waziri wa mazingira anahusika zaidi!Waziri wa maliasili na utalii kuna ujumbe wako hapa
Ulitaka watu wapikie nini?Waziri wa maliasili na utalii kuna ujumbe wako hapa
View attachment 2406413
Lete jangwa, lete jangwa, lete jangwaaaaaaWaziri wa maliasili na utalii kuna ujumbe wako hapa
View attachment 2406413
Makamba angekujibu , Taifa GasUlitaka watu wapikie nini?
Mohani ilikuwa elfu 48 ikapanda mpaka 50 kwa 32kg sasa 56 na tunajua ges ya mohani inatoka Lindi au Mtwara. Mimi nimeshakutana na mapipa yakitokea huko. Gasi yetu inauzwa kama tunainunua nje? Whats next???Hizi bodaboda kwa sasa ndo janga kwenye kuteketeza mhatiti, yaani boda anabeba mkaa size ya fuso?........shusheni bei ya gesi ili watu mijini wapunguze matumizi ya mkaa, badala ya kufanya show off za kupeleka mitungi vijijini....
PhD holderHapa anahusika zaidi bwana jafo
Kuna mkaa wa mpaka 1000/- mtaani. lkn gas haipo!!Mohani ilikuwa elfu 48 ikapanda mpaka 50 kwa 32kg sasa 56 na tunajua ges ya mohani inatoka Lindi au Mtwara. Mimi nimeshakutana na mapipa yakitokea huko. Gasi yetu inauzwa kama tunainunua nje? Whats next???
Kuhusu mkaa tusidanganyane, wengi wetu humu ni wateja wa wauza mikaa. Je, tufanyeje?