Waziri wa maliasili na utalii Njoo hapa

Hizi bodaboda kwa sasa ndo janga kwenye kuteketeza miti, yaani boda anabeba mkaa size ya fuso?........shusheni bei ya gesi ili watu mijini wapunguze matumizi ya mkaa, badala ya kufanya show off za kupeleka mitungi vijijini....
 
Hizi bodaboda kwa sasa ndo janga kwenye kuteketeza mhatiti, yaani boda anabeba mkaa size ya fuso?........shusheni bei ya gesi ili watu mijini wapunguze matumizi ya mkaa, badala ya kufanya show off za kupeleka mitungi vijijini....
Mohani ilikuwa elfu 48 ikapanda mpaka 50 kwa 32kg sasa 56 na tunajua ges ya mohani inatoka Lindi au Mtwara. Mimi nimeshakutana na mapipa yakitokea huko. Gasi yetu inauzwa kama tunainunua nje? Whats next???
Kuhusu mkaa tusidanganyane, wengi wetu humu ni wateja wa wauza mikaa. Je, tufanyeje?
 
Kuna mkaa wa mpaka 1000/- mtaani. lkn gas haipo!!
 
Una uhakika hapa ni Tanzania mkuu?

Ingawa nasi hili tatizo linaendelea kukuwa nchini, ni watanzania wote tunatakiwa tubadilike ndipo vita hii ya uharibifu wa misitu tutaishinda.
 
Mi nadhani waziri wa nishati Makamba angefika Hapa[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…