figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Usiseme alishinda ila sema alipewa ushindi na dolaWaziri wa Mambo ya ndani Patrobas Katambi akalia kuti kavu. Yaani ni kwamba hapo alipo ni mguu mmoja nje mguu mmoja ndani.. Yaani mguu mbele mguu nyuma.
View attachment 3668587
Sijajua ni nini kimetokea kati yake na Mzanzibari Samia Suluhu Hassan.
Hata sasa hivi nikisikia kwamba katemwa siwezi kushituka.. Japo nasikia alijitetea kwa katibu Mkuu..
Namshauri Katambi, kama Samia katosheka na utendaji wako, hata uongee na Mwigulu Nchemba kwa kisukuma hawezi kukusaidia chochote.
Safari ya Patrobas Paschal Katambi hadi hapo alipo.
2011: Alifanya kazi ya kujitolea kama Afisa Sheria (Legal Officer) kwenye taasisi ya LHRC(Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu) ni shirika lisilo la kiserikali, la hiari na lisilo la faida ambalo linajishughulisha na kutetea, kulinda, na kukuza haki za binadamu na misingi ya utawala bora Tanzania.
2011β2015: Alikuwa Mkuu wa Idara ya Sheria (Chief Corporate Legal Officer) katika Sahara Media Group (SMG) inamilikiwa na mfanyabiashara na mwanasiasa wa Tanzania, Anthony Diallo ambaye ni Mmiliki wa Startv na radio free Afrika
Kisiasa:
View attachment 3668596
Kabla ya kuhamia CCM, alikuwa mwanachama wa CHADEMA, ambako aliwahi kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA (Baraza la Vijana CHADEMA) na kushiriki katika uongozi wa juu wa chama lakini kwa bahati mbaya Mwaka 2017 alihamia CCM.
View attachment 3668597
2018β2020: Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya (DC) wa Dodoma.
2020: Aligombea na kushinda ubunge wa Shinyanga Mjini kupitia CCM.
2020β2025: Akawa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu, akishughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu.
Novemba 2025: Akahamishiwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara.
Januari 2026: Rais Samia Suluhu Hassan akamteua kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi; aliapishwa tarehe 13 Januari 2026.
Mbona umeandika kama vile wasifu wa marehemu?Waziri wa Mambo ya ndani Patrobas Katambi akalia kuti kavu. Yaani ni kwamba hapo alipo ni mguu mmoja nje mguu mmoja ndani.. Yaani mguu mbele mguu nyuma.
View attachment 3668587
Sijajua ni nini kimetokea kati yake na Mzanzibari Samia Suluhu Hassan.
Hata sasa hivi nikisikia kwamba katemwa siwezi kushituka.. Japo nasikia alijitetea kwa katibu Mkuu..
Namshauri Katambi, kama Samia katosheka na utendaji wako, hata uongee na Mwigulu Nchemba kwa kisukuma hawezi kukusaidia chochote.
Safari ya Patrobas Paschal Katambi hadi hapo alipo.
2011: Alifanya kazi ya kujitolea kama Afisa Sheria (Legal Officer) kwenye taasisi ya LHRC(Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu) ni shirika lisilo la kiserikali, la hiari na lisilo la faida ambalo linajishughulisha na kutetea, kulinda, na kukuza haki za binadamu na misingi ya utawala bora Tanzania.
2011β2015: Alikuwa Mkuu wa Idara ya Sheria (Chief Corporate Legal Officer) katika Sahara Media Group (SMG) inamilikiwa na mfanyabiashara na mwanasiasa wa Tanzania, Anthony Diallo ambaye ni Mmiliki wa Startv na radio free Afrika
Kisiasa:
View attachment 3668596
Kabla ya kuhamia CCM, alikuwa mwanachama wa CHADEMA, ambako aliwahi kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA (Baraza la Vijana CHADEMA) na kushiriki katika uongozi wa juu wa chama lakini kwa bahati mbaya Mwaka 2017 alihamia CCM.
View attachment 3668597
2018β2020: Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya (DC) wa Dodoma.
2020: Aligombea na kushinda ubunge wa Shinyanga Mjini kupitia CCM.
2020β2025: Akawa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu, akishughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu.
Novemba 2025: Akahamishiwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara.
Januari 2026: Rais Samia Suluhu Hassan akamteua kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi; aliapishwa tarehe 13 Januari 2026.
Mambaz 24 πππ.Kagusa sehemu mbaya itakua, poler yake.
Ameenda kumfariji mama kweli huyu?Kagusa sehemu mbaya itakua, poler yake.
ππππlakini kwa bahati mbaya Mwaka 2017 alihamia CCM
Wewe mpumbavu inaweza kuwa wewe ndio Maria Sarungi, naona huchoki kuandika upupuWaziri wa Mambo ya ndani Patrobas Katambi akalia kuti kavu. Yaani ni kwamba hapo alipo ni mguu mmoja nje mguu mmoja ndani.. Yaani mguu mbele mguu nyuma.
View attachment 3668587
Sijajua ni nini kimetokea kati yake na Mzanzibari Samia Suluhu Hassan.
Hata sasa hivi nikisikia kwamba katemwa siwezi kushituka.. Japo nasikia alijitetea kwa katibu Mkuu..
Namshauri Katambi, kama Samia katosheka na utendaji wako, hata uongee na Mwigulu Nchemba kwa kisukuma hawezi kukusaidia chochote.
Safari ya Patrobas Paschal Katambi hadi hapo alipo.
2011: Alifanya kazi ya kujitolea kama Afisa Sheria (Legal Officer) kwenye taasisi ya LHRC(Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu) ni shirika lisilo la kiserikali, la hiari na lisilo la faida ambalo linajishughulisha na kutetea, kulinda, na kukuza haki za binadamu na misingi ya utawala bora Tanzania.
2011β2015: Alikuwa Mkuu wa Idara ya Sheria (Chief Corporate Legal Officer) katika Sahara Media Group (SMG) inamilikiwa na mfanyabiashara na mwanasiasa wa Tanzania, Anthony Diallo ambaye ni Mmiliki wa Startv na radio free Afrika
Kisiasa:
View attachment 3668596
Kabla ya kuhamia CCM, alikuwa mwanachama wa CHADEMA, ambako aliwahi kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA (Baraza la Vijana CHADEMA) na kushiriki katika uongozi wa juu wa chama lakini kwa bahati mbaya Mwaka 2017 alihamia CCM.
View attachment 3668597
2018β2020: Aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya (DC) wa Dodoma.
2020: Aligombea na kushinda ubunge wa Shinyanga Mjini kupitia CCM.
2020β2025: Akawa Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu, akishughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu.
Novemba 2025: Akahamishiwa kuwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara.
Januari 2026: Rais Samia Suluhu Hassan akamteua kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi; aliapishwa tarehe 13 Januari 2026.
Bila shaka wewe utakua ni Gen Z au humjui Dudubaya,huyo jamaa ndio alivyo toka kitambo tu,kama ni Jela amesha kaa sana huko,Mambaz 24 πππ.
Leo kuna post moja alipost insta ikafanya nifiikirie huu ujasiri kautoa wapiπ.
Ukipata muda wako kaipitie insta kwenye ukurasa rasmi wa Dudubaya
Mambaz 24 πππ.

Ameenda kumfariji mama kweli huyu?