Waziri wa Mambo ya ndani Patrobas Katambi akalia kuti kavu. Mguu mbele mguu nyuma

Waziri wa Mambo ya ndani Patrobas Katambi akalia kuti kavu. Mguu mbele mguu nyuma

😂😂 katambi aombe tu Mungu!! Maana akitolewa na zile kiki zote itakua kichekesho!!
Hivi waziri kweli unaenda kuongea na kina Pipytida matatizo yote yaliyo wizarani kwako .
 
Msituchose tafadhali na mambo yenu huko chamani....... Tunawasubiria Viongozi wenu kwenye kesi ya Uhaini
 
Huyu jamaa ni mshamba sana, Makonda ndiye atapewa wizara hiyo, yaani ujinga mwingi sana huko serikalini
GhfJRpEacAEgTRK.jpeg
 
Back
Top Bottom