Waziri wa Mambo ya Ndani: Tukio la anayesemekana alitekwa (SATIVA) uchunguzi unaendelea

Waziri wa Mambo ya Ndani: Tukio la anayesemekana alitekwa (SATIVA) uchunguzi unaendelea


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amezungumzia kukamatwa kwa watuhumiwa mbalimbali wa sakata la utekaji ambalo limekuwa likizungumziwa na vyombo mbalimbali vya habari katika siku za hivi karibuni huku likiacha taharuki kwa wananchi huku pia suala la kuteswa likitajwa kushamiri…….

Akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Kitabu kilichoandikwa na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania,Dkt. Abubakari Zubeir kinachoitwa Mmomonyoko wa Maadili Nani Alaumiwe,Waziri Masauni ametaja takribani kesi nane na hatua zilizochukuliwa na serikali juu ya matukio hayo ya utekaji ikiwemo tukio la mtoto Albino aliyetekwa na kukutwa ameuawa na kunyofolewa viungo vya mwili,tukio la hivi karibuni la Edgar Mwakabela anayejulikana zaidi kwa jina la Sativa.

============

View attachment 3032568
Gazeti la Mwananchi la Julai 2, 2024 likiwa na kichwa cha habari kikubwa kuhusu utekaji.
Pia soma ~ Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote kutoka kwa Muliro, IGP Wambura wala Waziri Masauni juu ya utekwaji wa Sativa, kuna nini?
Hapa kuna watu watasema ni Magufuli,huku wakisahau kuwa Magufuli aliisha jiondokea miaka 3,iliyopita, Maana enzi za Magufuli watu walidiliki kutafuta mizoga ya ng'ombe na kuipakia kwenye viroba na kuipiga picha, Ili kuonyesha Magufuli alikuwa katili sana.
 
Awamo ya tano imechangia pakubwa kumfrastrate manji hadi kupelekea kifo?, Jiwe hakuwa binadamu kabisa, ni devil
Manji alikuwa fisadi Papa (Reginald Mengi Voice)na Manji mwenyewe hakukanusha wakati anatajwa katika mafisadi 10 Papa waliokuwa wanaujumu nchi hii.
 
Sawa sio Jeshi hatukatai je uko karakana ya polisi alifikaje na baada ya hapo ivi ni mtu gani binafsi anaweza kumteka mtu kumpeleka kituoni then amzungushe arusha hadi katavi Tena mbugani we jiuzulu tu bhana tunashindwa kuelewa chombo cha kulinda raia na Mali zao halafu kinawaumiza
 
Back
Top Bottom