Wengi wameshaanza kusoma nyakati na majira ,ni hatari sana wasomi kama waziri huyo kushindwa kusoma alama za nyakati.Kitendo cha vigogo wengi wa ccm kutangaza kutangaza kutogombea ubunge 2015 sio tu wanataka urais bali pia kuwafumba wananchi ili kuepuka fedheha na dharau watakapo shindwa na CHADEMA 2015.Kwa ukweli na udhati ndani ya CCM hakuna anayefaa kuwa rais.