Waziri wa mambo ya nje anafaa kuwa rais 2015 ndani ya ccm????????????????????????

Waziri wa mambo ya nje anafaa kuwa rais 2015 ndani ya ccm????????????????????????

Joined
Jan 3, 2013
Posts
63
Reaction score
8
i need your suggestion from you intellectual scholars whom you like to rebuild your nation!!!!!
 
Amekutuma baada ya kuona jina lake halitajwitajwi kabisa siku hizi?
Akiona vp naye aandae Chakula kama naniliu wa Munduli!
 
hoja hii imekuja baada ya yeye kutogombea ubunge 2015 katika jimbo lake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hata hiyo ya mambo nje ni udini na ushemeji wa Kikwete. Hana lolote!
 
Wengi wameshaanza kusoma nyakati na majira ,ni hatari sana wasomi kama waziri huyo kushindwa kusoma alama za nyakati.Kitendo cha vigogo wengi wa ccm kutangaza kutangaza kutogombea ubunge 2015 sio tu wanataka urais bali pia kuwafumba wananchi ili kuepuka fedheha na dharau watakapo shindwa na CHADEMA 2015.Kwa ukweli na udhati ndani ya CCM hakuna anayefaa kuwa rais.
 
Back
Top Bottom