Kuchangamke hivyo hivyo ili wote walio ndotoni wazinduke na kuchapa kazi.Kunazidi kuchangamka
Mbaya wakwetu ni bora wangetumia tangu kwenye sanduku la kura uwezo wao na washauri wao kufanya mambo hata kama wangekosea ingewezekana kusamehe kuwa ni makosa ya kibinaadamu.Ila hapa wanapolea na kufuga chawa na kusahau wajibu na majukumu yao hapa hawastahili msamaha.Kwa kweli Trump ni Jabari kabisa,watu watafute pesa vita vya Nini?rejea nyuma Ujerumani walikuwa na uchumi imara sana na wakaingia mkataba wa bomba la gesi kati yake na Urusi kwa sababu ya NATO mradi huo ukafa akaingizwa vitani bila kupenda,tusiwadhalau viongozi wetu kwa maamuzi mabovu hata hao wazungu tunaowaamini nao ni hovyo kabisa
Ikitokea hivyo na jua moja ya excutive orders za mwanzo ni kufuta chawa na uchawa,wizi wachaguzi,rushwa na ufisadi ,uvivu na uzembe.Trump ni aina ya kiongozi ambaye tunamtaka Tanzania, apewe uraia na uraisi ASAP
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema hana wasiwasi kuhusu hatma ya NATO, akisisitiza kuwa muungano huo haupo hatarini.
Akizungumza katika mahojiano na Fox News, alisema nchi za Ulaya ni matajiri na zinapaswa kuwekeza zaidi katika usalama wao badala ya kutegemea Marekani.
Aliongeza kuwa ni jambo lisilo la haki na lisiloweza kuendelea kwa muda mrefu kwa Marekani kuendelea kugharamia usalama wa mataifa mengine.
Binafsi sikuweza ku-imagine kwamba Marekani ingepata Rais kama Trump.Tulipigwa madongo JF tuliposema Trump aliibiwa kura ila ndiye Rais alali wa Wamarekani.Trump ni aina ya kiongozi ambaye tunamtaka Tanzania, apewe uraia na uraisi ASAP
This is all "tala lila and wishful thinking." The truth is you are screwed up.Trump siyo Marekani, na Marekani siyo Trump.
Trump yupo madarakani kwa muda wa miaka minne tu na baada ya hapo ataondoka na kisha Mtu mwingine atashika usukani.
Ndani ya Chama chake cha Republicans tayari kuna mpasuko, baadhi ya wenzake tayari wameanza kumtuhumu Trump kwamba anaharibu mahusiano mema dhidi ya Washirika wao muhimu sana katika ulimwengu huu.
Wavivu wakitabzania ndiyo tunaoombea mpasuko ndani ya republican kwakuwa naelekea kutuumbua na uvivu wetu.Trump siyo Marekani, na Marekani siyo Trump.
Trump yupo madarakani kwa muda wa miaka minne tu na baada ya hapo ataondoka na kisha Mtu mwingine atashika usukani.
Ndani ya Chama chake cha Republicans tayari kuna mpasuko, baadhi ya wenzake tayari wameanza kumtuhumu Trump kwamba anaharibu mahusiano mema dhidi ya Washirika wao muhimu sana katika ulimwengu huu.
Sidhani kama upo sahihi.Wavivu wakitabzania ndiyo tunaoombea mpasuko ndani ya republican kwakuwa naelekea kutuumbua na uvivu wetu.
Tulikua na Magufuli lakini tulimtukana na kumwona mshamba! Nae alikua anajali sana mambo ya nchi na wananchi wakeTrump ni aina ya kiongozi ambaye tunamtaka Tanzania, apewe uraia na uraisi ASAP