Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Profesa Palamagamba Kabudi amewaalika wenzake kadhaa wa Kiafrika na Nordic kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Afrika-Nordic jijini Dar es salaam tarehe 8 Novemba, 2019. Mada ya mkutano wa mwaka huu Ushirikiano kwa maendeleo endelevu.
Mkutano huo umehudhuriwa na mawaziri 29 wa kigeni wa nchi za Afrika na wengine watano kutoka nchi za Nordic ambazo ni Swiden, Denmark, Finland, Norway na Iceland.
Nchi za Afrika ambazo zimehudhuria mkutano huo ni Algeria, Angola, Benin, Botswana, Burkinafaso, Burundi, Comoros, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Misri, Ethiopia na Ghana.
Nchi nyingine ni; Kenya, Lesotho, Mali, Malawi, Moroko, Msumbiji, Namibia, Nigeria, Niger, Rwanda, Senegal, Somalia, Afrika Kusini, Tunisia, Uganda, Zambia, Zimbabwe na mwenyeji -Tanzania.
Mbali na mawaziri wa mambo ya nje mkutano huo pia umehudhuriwa na mabalozi wa nchi zinazoshiriki za Kiafrika na Kutoka katika nchi za Nordic.
Uhirikiano kwa maendeleo endelevu.