Blinken ni Myahudi! Hapo anafanya double standards!
Nazi Germany, Italy na Japan.Kwani US alipigana na nani II world war? Nirudishwe shule kidogo na mtalaam wa historia
Kwani marekani alienda kama kusaidia au aliingia front moja kwa moja lakini pia ukumbuke marekani imejengwa na watu ganiNazi Germany, Italy na Japan.
Mkuu naona kama ni scene hii umeamza kukolea,.Sawa acha movie ikolee sisi watazamaji tupo siti za nyuma
Kumekucha mtoto kazoe kudekezwa kila kitu anapewa wazazi sasa wamechokaš¤£
Unachekesha wewe ndugu zako wanadakwa kama kukuBREAKING: ISRAELIS SOLDIERS ARE TURNING ON EACH OTHER
- Tension between Egoz unit fighters and their commanders after the difficult battle at the beginning of the ground operation in Lebanon.
- The fighters demanded clarifications and a change in the way their new commanders make decisions before they are asked to fight across the border again. These talks took place in recent days, coinciding with the redeployment of officers in the unit as replacements for those killed or wounded in the difficult confrontation with Hezbollah elements.
Nashindwa kuelewa, hebu eleza unachofahamu sio kuongea kwa vituo..Kwani marekani alienda kama kusaidia au aliingia front moja kwa moja lakini pia ukumbuke marekani imejengwa na watu gani
Hao Wamerekani siwaamini kabisa, ni wanafik namba moja duniani.Wanakumbi.
ā”ļøBREAKING:
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin waliifahamisha Israel kwamba ikiwa misaada ya kibinadamu haitaingia Gaza ndani ya siku 30, utawala wa Marekani utalazimika kuamsha "Mkataba wa Usalama wa Taifa" na kuzuia uhamisho wa silaha kwa Israeli chini ya sheria ya misaada.
Chanzo: Itamar Eichner - Yedioth Ahronoth
=========================
View: https://x.com/suppressednws/status/1846195005121028582?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kuna wayahudi alafu kuna waisraelBlinken ni Myahudi! Hapo anafanya double standards!
Wayahudi ndiyo WaisraeliKuna wayahudi alafu kuna waisrael