Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki wa Rwanda awekewa vikwazo na Marekani. Mungu wabariki wazungu, Mungu mbariki Trump!

Ningemkubali angeenda Kumtoa kama Bush alivyofanya Iraq kwa Sadam
 
Mfadhili mkuu wa mauaji ya Waarabu huko Middle East ni nani?
 
Hao Viongozi wa Afrika walipokutana Addis Ababa, Ethiopia kuna jambo lolote la maana limetokea?

Au walivyokutana Dar, Viongozi wa SADC na EAC kuna lolote la maana walifanya? Au walikunywa juice tu?

Acha Mzungu awe Mzungu maana anajua hakika namna ya kuchukua hatua. Hacheki na Nyani anafanya kweli. Nyie endeleeni kuchekeana na kufurahisha genge.
 
Mi nilidhani utasema ni uongo maana hao 23 na kagame si mnadai wanafadhiliwa na Us.Ajabu umeruka hadi parestina huko,kweli unafiki ni kidonda ndugu.
We hujawazoea Waafrika? Mabingwa wa Conspiracy theories na stori za kusadikika.
 
Wazungu wana amini sana kwenye second chance. Hawakurupuki.

..Kagame angekuwa amesababisha Wazungu milioni 6 wakapoteza maisha kama alivyofanya kwa Wacongomani sidhani kama Wazungu wangempa second chance.
 
Mnachekesha sana. Kwamba leo wazungu wanathamini maisha ya mwafrika? Nonsense
 
..Kagame angekuwa amesababisha Wazungu milioni 6 wakapoteza maisha kama alivyofanya kwa Wacongomani sidhani kama Wazungu wangempa second chance.
We jua tu, his days are numbered!
 
Kwani nyie Waafrika mnathamini maisha yenu?
Hakuna mzungu mwenye uchungu na maisha ya nwafrika. Miaka zaidi ya 100 walikuwa wakiuza na kununua watumwa kutoka afrika huku wengine wakiuawa kikatili.

Nakushangaeni leo mnakuja kuwasifia hapa. Na huu ujinga ndio unawawafanya wazidi kutuona washenzi
 
..Kagame angekuwa amesababisha Wazungu milioni 6 wakapoteza maisha kama alivyofanya kwa Wacongomani sidhani kama Wazungu wangempa second chance.
Hakuna Wacongo milioni 6 waliopoteza maisha kwa sababu ya Kagame. Putin amesababisha vifo vya zaidi ya watu laki moja Ukraine lakini Trump amempa kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…