Waziri wa Michezo aagiza Taifa Stars na Mwakinyo wachunguzwe

Waziri wa Michezo aagiza Taifa Stars na Mwakinyo wachunguzwe

....timu yetu ya taifa ya netball nayo ichunguzwe mh.waziri maana vile vichapo pale Pretoria ni aibu tupu even Eswatini, Namibia walijipigia na mwenda wazimu
 
Wanipe mimi jukumu la uenyekiti wa hiyo kamati ya uchunguzi. Muhimu tu waweke mezani mzigo wa kutosha ili kuendeshea hilo zoezi.
 
Back
Top Bottom