Waziri wa Michezo afukuzwe haraka

Waziri wa Michezo afukuzwe haraka

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Nchi ni kama haina waziri wa michezo.

Olympics tunapeleka watu watatu.

TFF uchaguzi wa kihuni.

Simba mwnye asilimia 49 anafanya maamuzi yote.

Je, Mo alivyomteua Barbara ilikuwepo.

Regulatory Approval? Au hakuna hata Regulatory Institutions za kufatilia hizi clubs?

Waziri yupo Tu mambo yanajiendea.
 
Boss Tatizo sio waziri, tatizo ni nchi nzima kukubali kumezwa na Simba na Yanga

Nchi inaamini soka ndio mchezo wao wakati kiasili sisi ni kama wahindi huu sio asili yetu. Tunatumia nguvu nyingi na frdha nyingi kwenye hili jidubwashika linaloitwa soka

Tumetelekeza na kusahau kuwa kuna michezo mingine mingi tu. Kila mtu anajilazimisha ni mpenzi wa soka, soka imeingia kwenye siasa hata kwenye dini

Mtoto anazaliwa anaanza kuvalishwa hayo majezi ya Simba/yanga tangu akiwa mdogo hivyo anakuwa nalo hata kama.alizaliwa na kipaji cha riadha kinapotea hakiendelezwi hakuna viwanja vya michezo mingine aslimimia 95 ya mazungumzo ya Watanzania ni simba na Yanga
 
Nchi ni kama haina waziri wa michezo...
Olympics tunapeleka watu watatu..
Sasa hakuna uwekezaji unataka hao washiriki wa Olympics watokenwapi ?

Ukiacha Football, kuna mchezo wowote unaona kuna uwekezaji wowote hata wa viwanja tu ?

Yale yale ya Pole pole kuaema eti wataalamu wa ndani watengeneze chanjo, hivi anajua budget za tafit kweli ?
TFF. Uchaguzi wa kihuni
Ukiona kuna uchaguzi wa kihuni, ujue aloyepo system bado inamtaka. Yuko wapi Malinzi ?
Simba mwnye asilimia 49 anafanya maamuzi yote ..
Simba na Yanga ni club za serikali. Ukiona mtu anapewa kiivyovyote ujue wanajuana naye vizuri. unajiumiza kichwa bila sababu
Je Mo alivyomteua Barbara ilikuwepo
Regulatory Approval?Au Hakuna hata Regulatory Institutions za kufatilia hizi clubs?..

Waziri yupo Tu mambo yanajiendea....
Waziri wa Michezo na wa ulinzi ni vyeo ambavyo havina mambo mengi maana wanafanya kazi kwenye wizara ambazo mostly zina system za kujiendesha zenyewe. Labda wa michezo kidogo MEDIA zitamshughulisha kidogo.
 
Mleta mada ana muhaho mkubwa sanaaa.
Hata akishindwa kumpa mkewe mimba atasema waziri wa afya awajibike.
 
Sasa hakuna uwekezaji unataka hao washiriki wa Olympics watokenwapi ?

Ukiacha Football, kuna mchezo wowote unaona kuna uwekezaji wowote hata wa viwanja tu...
Ukisema hizi club za serikali ndo umuhimu wa Regulatory Boards kuwepo unazidi kuonekana
 
Vodacom hawateui CEO bila Serikali kusema sawa...kwani Serikali inaipangia Vodacom namna ya kujiendesha?..

Unajua maana ya Regulatory Authorities??

Au hujui hata kina Glazers wanaweza timuliwa
Man U??
Then you are contradicting yourself
Mifano yako we’re shoddy
 
Boss Tatizo sio waziri, tatizo ni nchi nzima kukubali kumezwa na Simba na Yanga

Nchi inaamini soka ndio mchezo wao wakati kiasili sisi ni kama wahindi huu sio asili yetu. Tunatumia nguvu nyingi na frdha nyingi kwenye hili jidubwashika linaloitwa soka

Tumetelekeza na kusahau kuwa kuna michezo mingine mingi tuu. Kila mtu anajilazimisha ni mpenzi wa soka, soka imeingia kwenye siasa hata kwenye dini

Mtoto anazaliwa anaanza kuvalishwa hayo majezi ya Simba/yanga tangu akiwa mdogo hivyo anakuwa nalo hata kama.alizaliwa na kipaji cha riadha kinapotea hakiendelezwi hakuna viwanja vya michezo mingine aslimimia 95 ya mazungumzo ya watanzania ni simba na yanga
Sioni ubaya hapo, soka linapendwa dunia nzima.
Wewe wavalishe watoto wako jezi za riadha wataipenda sie tuachie kandanda.
 
Halafu kwenye medali wanalazimisha utanzania wa Malaika Mihambo wa ujerumani. Uwekezaji kwenye michezo ni 0
Nalog
 
huyu waziri juzi kawateua wakisha Shafii Dauda kuhusu kurudisha na kuandaa Taifa cup wakati hili jukumu ni la TFF, sasa hivi michezo ni biashara kubwa na ajira lakini sisi tumezubaa matokeo yake tunateua watu wasio makini
 
Back
Top Bottom