Waziri wa Michezo afukuzwe haraka

Waziri wa Michezo afukuzwe haraka

Sema hii nchi ya kingese sana, yaani Wizara husika ya michezo TFF walishindwa kuwafanyia mchakato wa kusafiri mapema hawa biashara united
 
Hivi waziri wa michezo ni nan! sijawah msikia hata akitoa mchango, idea au hata hamasa kwenye michezo, hivi kwanini watu wanaojua michezo na wenye uchungu na wanaojua vizuri udhaifu katika michezo ya nchi hii kama akina TARIMBA hawapewagi hii wizara!
 
Nilikuwa nasikilizia uchambuzi Azam sahizi ,ukweli ni kwamba viongozi wa Biashara ni wazembe ,ratiba ya CAF imetangazwa kuanzia June halafu Biashara hawana hata mda wa kupitisha bakuli au kuandaa harambe?Biashara hadi Sasa hawazungumzii ukata ,mara ya kwanza walisema passports zilichelewa ,Mara hii kibali cha ndege kutua Sudan then libya wamekosa ,Biashara wanaenda kutafuta ndege ijumaa mechi jumamosi . Ni uzembe mkubwa
 
Ndio hapo hata mimi nashangaa, hizi wizara za michezo kuna watu wenye exposure kubwa ya michezo ktk hii nchi na wapo bungeni bila kutumiwa

Mm naamini huyo Abbas Tarimba angeweza kutoa mchango Mkubwa sana michezo

Kwanza huyo waziri wa michezo ni nani?
 
TFF wanajua hii timu ni mpya ktk mashindano haya, bila kuwafuatilia vizuri hawawezi kutoboa, hili ni jukumu la shirikisho kujua mienendo ya timu zote zinazoshiriki huko

Hii ni collective mistake kwa Biashara wenyewe, TFF na wizara husika
 
Yeah upo sahihi ,hapa TFF ilipaswa kuwakumbusha mapema kuhusu vibali ,gharama na kuwasimamia ,maana kama TFF wanasema wasilaumie je wajibu wa TFF nini kwenye haya mashindano
 
Mpaka dakika hii huyu waziri, karia na wenzake wasingekua ofisini. Lkn nchi ya kijinga hii wataendelea kua ofisini na hata kupandishwa cheo. Aibu ilioje kwa taifa.
 
TFF walitumia nguvu nyingi kumtafutia uraia Kibu Denis na kushindwa kutumia nguvu hiyohiyo kwa biashara united
Yanga walitumia nguvu kubwa kujiandaa na bonanza la tamasha halafu wakashindwa kutumia nguvu kubwa kujiandaa na mechi za CAF.
 
Ndio hapo hata mimi nashangaa, hizi wizara za michezo kuna watu wenye exposure kubwa ya michezo ktk hii nchi na wapo bungeni bila kutumiwa

Mm naamini huyo Abbas Tarimba angeweza kutoa mchango Mkubwa sana michezo

Kwanza huyo waziri wa michezo ni nani?
Angekuwa mstaarabu, angejiuzuru!
 
Back
Top Bottom