Jibu hapo juu [emoji3516]Wewe mwenye hisa 51 huwezi lipa mshahara hata wa mlinzi hiyo power utaitoa wapi kuhoji mo?
Waziri anaipangia Simba how to manage?
Ndio unavyowaza?
Wewe mwenye hisa 51 huwezi lipa mshahara hata wa mlinzi hiyo power utaitoa wapi kuhoji mo?
Sasa hakuna uwekezaji unataka hao washiriki wa Olympics watokenwapi ?Nchi ni kama haina waziri wa michezo...
Olympics tunapeleka watu watatu..
Ukiona kuna uchaguzi wa kihuni, ujue aloyepo system bado inamtaka. Yuko wapi Malinzi ?TFF. Uchaguzi wa kihuni
Simba na Yanga ni club za serikali. Ukiona mtu anapewa kiivyovyote ujue wanajuana naye vizuri. unajiumiza kichwa bila sababuSimba mwnye asilimia 49 anafanya maamuzi yote ..
Waziri wa Michezo na wa ulinzi ni vyeo ambavyo havina mambo mengi maana wanafanya kazi kwenye wizara ambazo mostly zina system za kujiendesha zenyewe. Labda wa michezo kidogo MEDIA zitamshughulisha kidogo.Je Mo alivyomteua Barbara ilikuwepo
Regulatory Approval?Au Hakuna hata Regulatory Institutions za kufatilia hizi clubs?..
Waziri yupo Tu mambo yanajiendea....
Ukisema hizi club za serikali ndo umuhimu wa Regulatory Boards kuwepo unazidi kuonekanaSasa hakuna uwekezaji unataka hao washiriki wa Olympics watokenwapi ?
Ukiacha Football, kuna mchezo wowote unaona kuna uwekezaji wowote hata wa viwanja tu...
Then you are contradicting yourselfVodacom hawateui CEO bila Serikali kusema sawa...kwani Serikali inaipangia Vodacom namna ya kujiendesha?..
Unajua maana ya Regulatory Authorities??
Au hujui hata kina Glazers wanaweza timuliwa
Man U??
Barbara mchepuko wa mo
Sioni ubaya hapo, soka linapendwa dunia nzima.Boss Tatizo sio waziri, tatizo ni nchi nzima kukubali kumezwa na Simba na Yanga
Nchi inaamini soka ndio mchezo wao wakati kiasili sisi ni kama wahindi huu sio asili yetu. Tunatumia nguvu nyingi na frdha nyingi kwenye hili jidubwashika linaloitwa soka
Tumetelekeza na kusahau kuwa kuna michezo mingine mingi tuu. Kila mtu anajilazimisha ni mpenzi wa soka, soka imeingia kwenye siasa hata kwenye dini
Mtoto anazaliwa anaanza kuvalishwa hayo majezi ya Simba/yanga tangu akiwa mdogo hivyo anakuwa nalo hata kama.alizaliwa na kipaji cha riadha kinapotea hakiendelezwi hakuna viwanja vya michezo mingine aslimimia 95 ya mazungumzo ya watanzania ni simba na yanga