kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Saana tu , bora kirudi TAMISEMIKiganja kimekatwa?
Arage Jekundu.
Sent from my Z4 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saana tu , bora kirudi TAMISEMIKiganja kimekatwa?
Arage Jekundu.
aisee inawezekana kama ni kweli basi warudi haraki wakatambike vinginevyo wafwaFamilia ya Malinzi tafadhalini nendeni upesi pale ' Kaburini ' mkamuombe ' radhi ' yule Mama yenu wa Kambo ambaye Kaka na mdogo Mtu mlimnyanyasa hadi kumuita ' Mchawi ' wakati Yeye ndiye aliyeishi na Baba yenu Mzazi aliyekuwa ' Kipofu ' kwa miaka mingi kwani laana yake sasa si tu ' inawatafuna ' bali ' inawamaliza ' kabisa.
Ile ' dhambi ' mliyomfanyia Yule Mama yenu wa Kambo tena huku mkitumia ' Pesa ' zenu ' Kijeuri ' hakika naamini hata Mwenyezi Mungu ' amebariki ' laana ya huyo Mama Kwenu na ndiyo maana mpaka sasa ' Kaka ' Mtu kule ' Bandarini ' na ile Kampuni yake ya Clearing and Forwarding sasa ni ' hali tete ' huku ' Mdogo ' Mtu nae ' PCCB ' wameshafanya yao Kwake na ' Urais ' wa TFF ndiyo ' bai bai ' hivyo.
Poleni sana Dioniz na Jamal. Ni matumaini yangu makubwa kuwa lile ' Kaburi ' alilozikwa huyo Mama yenu wa Kambo mnalijua lilipo hivyo fanyeni ' hima ' mkatubu na mfanye ' tambiko ' Kubwa ila hakikisheni tu kuwa ' Sisi ' Watani zenu wakubwa Watu wa kutoka Mkoa wa Mara ( Musoma ) mnatushirikisha.
Ndiyo, ni wa tumbo moja. Tofauti yao ni:Huyo Dioniz Malinzi ni ndugu na Jamal Malinzi?
Wala haihusiani, ukiiba, ukiwa jambazi, ukifanya maovu yoyote yale haitegemei kwamba utapona kama hukunyanyasa watu, umeiba au jambazi kosa, jela, kufilisiwa. Kama ulikuwa mtu wa mishe mishe C&F kazi kwako, lazima sheria ile na wewe...Mengine hayo ni imani zetu tu kama kawaida yetu waTZ..Familia ya Malinzi tafadhalini nendeni upesi pale ' Kaburini ' mkamuombe ' radhi ' yule Mama yenu wa Kambo ambaye Kaka na mdogo Mtu mlimnyanyasa hadi kumuita ' Mchawi ' wakati Yeye ndiye aliyeishi na Baba yenu Mzazi aliyekuwa ' Kipofu ' kwa miaka mingi kwani laana yake sasa si tu ' inawatafuna ' bali ' inawamaliza ' kabisa.
Ile ' dhambi ' mliyomfanyia Yule Mama yenu wa Kambo tena huku mkitumia ' Pesa ' zenu ' Kijeuri ' hakika naamini hata Mwenyezi Mungu ' amebariki ' laana ya huyo Mama Kwenu na ndiyo maana mpaka sasa ' Kaka ' Mtu kule ' Bandarini ' na ile Kampuni yake ya Clearing and Forwarding sasa ni ' hali tete ' huku ' Mdogo ' Mtu nae ' PCCB ' wameshafanya yao Kwake na ' Urais ' wa TFF ndiyo ' bai bai ' hivyo.
Poleni sana Dioniz na Jamal. Ni matumaini yangu makubwa kuwa lile ' Kaburi ' alilozikwa huyo Mama yenu wa Kambo mnalijua lilipo hivyo fanyeni ' hima ' mkatubu na mfanye ' tambiko ' Kubwa ila hakikisheni tu kuwa ' Sisi ' Watani zenu wakubwa Watu wa kutoka Mkoa wa Mara ( Musoma ) mnatushirikisha.
safi sanaBaada ya kelele za wadau wa michezo ikiwa ni pamoja na wabunge hatimaye Waziri Mwakyembe amelivunja rasmi Baraza la Michezo Tanzania.
BMT ilikuwa chini ya uongozi wa Ndg.Dioniz Malinzi.
----
In Summary
Dar es Salaam. Hatimaye Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ametangaza rasmi kutengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dioniz Malinzi na wajumbe wa Baraza hilo huku akitaja kasoro kadhaa za Baraza.
- Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Waziri Mwakyembe alisema baada ya agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Bungeni mjini Dodoma la kumtaka afanye mapitio na kuitathmini upya BMT ili kujiridhisha na usimamizi wake wa shughuli za michezo nchini limekuja wakati muafaka.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Waziri Mwakyembe alisema baada ya agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Bungeni mjini Dodoma la kumtaka afanye mapitio na kuitathmini upya BMT ili kujiridhisha na usimamizi wake wa shughuli za michezo nchini limekuja wakati muafaka.
"Miongoni mwa changamoto zinazolikabili Baraza hilo na hali ya uhuria uliopitiliza katika uongozi na uendeshaji wa michezo karibu yote nchini.
"Pamoja na BMT kulalamikia uhaba wa fedha kuwa kikwazo kikubwa kinachokwamisha utendajikazi wake, Wizara ililiona zaidi hitaji la utashi, dhamira na kujituma kuliko pesa katika kutatua sehemu kubwa ya udhaifu uliotamalaki tasnia ya michezo.
"Mifano michache ni pale viongozi wa michezo kushika zaidi ya nafasi moja ya uongozi tena kwenye mchezo mmoja, ushiriki wa wanamichezo wa Tanzania nje ya nchi bila kuitaarifu BMT, mapromota wa mchezo wa ngumi nchini kuendesha shughuli zao bila kusajiliwa, chaguzi za vyama vya michezo kugubikwa na ubabe na rushwa, katiba na kanuni za vyama vya michezo kukosa uhakiki kubaini upungufu kuhusu masuala ya fedha;, tuhuma za rushwa, ubadhirifu, upendeleo, maamuzi ya kibabe ya wazi kabisa kutofuatiliwa na kufanyiwa kazi ni baadhi tu."
Waziri huyo alifafanua kwamba BMT ambayo imeundwa kwa mujibu wa sheria ya Bunge Na.12 ya mwaka 1967 pamoja na marekebisho yake ya mwaka 1971, jukumu lake kubwa ni kuendeleza michezo, lakini kwa kipindi kirefu tasnia ya michezo imegubikwa na migogoro ya mara kwa mara ambayo imechangia sana kudumaza maendeleo ya michezo katika nchi yetu. Serikali ya Awamu ya Tano ilitarajia kwamba kupitia BMT, migogoro hiyo ingeweza kupatiwa ufumbuzi wa kudumu.
"Kwa mujibu wa Sheria iliyoanzisha BMT, Baraza limepewa jukumu la kushughulikia masuala yote yanayohusu michezo ikiwa ni pamoja na weledi, amani, utulivu na utawala bora katika tasnia ya michezo.
Napenda kutumia fursa hii kuwashukuru wajumbe wote wa BMT kwa jitihada waliyofanya kukabiliana na changamoto mbalimbali zilizojitokeza toka wateuliwe mwaka 2015," alisema Waziri Mwakyembe huku akifafanua kwamba.
"Kwa kuzingatia kasi ya mageuzi ya Serikali ya Awamu ya Tano na matarajio ya haraka waliyonayo wananchi kuiona tasnia ya michezo ikionesha tija, nimeamua kwa mamlaka niliyopewa na Sheria ya BMT na.12 ya 1967 (kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria Na.6 ya 1971) pamoja na Kanuni zake za 1999, kusitisha uteuzi wa Mwenyekiti pamoja na wajumbe wote wa BMT kuanzia leo na Sekretarieti ya Baraza itaendelea kufanyakazi katika kipindi hiki," alimaliza.
Chanzo: Mwanasport
My Take:
Kiukweli hili baraza liliikuwa halieleweki na lilikuwa halina tija katika michezo.

Wewe, unadhani mwenyekiti wa BMT anapata nini pale?? Kwenye ulaji ni TFF tuu na Jamal ndo kapoteza. BMT mwenyekiti ni sanamu tu labdaKatibu.Familia ya Malinzi tafadhalini nendeni upesi pale ' Kaburini ' mkamuombe ' radhi ' yule Mama yenu wa Kambo ambaye Kaka na mdogo Mtu mlimnyanyasa hadi kumuita ' Mchawi ' wakati Yeye ndiye aliyeishi na Baba yenu Mzazi aliyekuwa ' Kipofu ' kwa miaka mingi kwani laana yake sasa si tu ' inawatafuna ' bali ' inawamaliza ' kabisa.
Ile ' dhambi ' mliyomfanyia Yule Mama yenu wa Kambo tena huku mkitumia ' Pesa ' zenu ' Kijeuri ' hakika naamini hata Mwenyezi Mungu ' amebariki ' laana ya huyo Mama Kwenu na ndiyo maana mpaka sasa ' Kaka ' Mtu kule ' Bandarini ' na ile Kampuni yake ya Clearing and Forwarding sasa ni ' hali tete ' huku ' Mdogo ' Mtu nae ' PCCB ' wameshafanya yao Kwake na ' Urais ' wa TFF ndiyo ' bai bai ' hivyo.
Poleni sana Dioniz na Jamal. Ni matumaini yangu makubwa kuwa lile ' Kaburi ' alilozikwa huyo Mama yenu wa Kambo mnalijua lilipo hivyo fanyeni ' hima ' mkatubu na mfanye ' tambiko ' Kubwa ila hakikisheni tu kuwa ' Sisi ' Watani zenu wakubwa Watu wa kutoka Mkoa wa Mara ( Musoma ) mnatushirikisha.
DaaahNdiyo, ni wa tumbo moja. Tofauti yao ni:
Jamal: Yanga
Dionis: Simba
Narudia kusema tena, kwa akili yako ya kawaida hivi ulidhani uchaguzi Malinzi angeshindwa uchaguzi huu yeyote ule kati ya waliomba kugombea. Sahau kabisaaaa, wajumbe wote wa kupiga kura walishalambishwa milungula ya utakatishaji fedha kitambo. Piga hesabu ndogo tu, hapa Jamali kule Dionis, hivi angeshindwaje uchaguzi? Na si hivyo tu, hata baadhi ya watu/wadau walioonekana kuwa na uwezekano wa kusaidia ushindi walishawekwa sawa kitambo.Kulikua na wasiwasi huenda Malinzi Mkubwa akaingilia kumuokoa Malinzi Mdogo kwa BMT kuingilia shughuli za uchaguzi wa TFF
Baba mmoja mama Mmoja, ndio aliyemfundisha Jamali upigaji na kumpigania kumuweka hapo TFf pamoja ma mapingamizi yote, yaliyotoka kwa wadau wa football, pia ndiye aliyevunja nyumba yake na kumfanya aache kazi yake nzuri ya kisomi pale TirdoHuyo Dioniz Malinzi ni ndugu na Jamal Malinzi?
Mpaka mkubwa aseme, kama alivyoongea Waziri Mkuu Bungeni ndio wameona mapungufu.Wavunje na BASATA halina tija kabisa. Wabadilishe muundo wake uwe wa kisasa.
Ni Kaka yake...Huyo Dioniz Malinzi ni ndugu na Jamal Malinzi?
aisee inawezekana kama ni kweli basi warudi haraki wakatambike vinginevyo wafwa