Waziri wa Michezo, Dr. Mwakyembe alivunja Baraza la Michezo Tanzania(BMT)

aisee inawezekana kama ni kweli basi warudi haraki wakatambike vinginevyo wafwa
 
Wala haihusiani, ukiiba, ukiwa jambazi, ukifanya maovu yoyote yale haitegemei kwamba utapona kama hukunyanyasa watu, umeiba au jambazi kosa, jela, kufilisiwa. Kama ulikuwa mtu wa mishe mishe C&F kazi kwako, lazima sheria ile na wewe...Mengine hayo ni imani zetu tu kama kawaida yetu waTZ..
 
safi sana
safi sana
 
Wewe, unadhani mwenyekiti wa BMT anapata nini pale?? Kwenye ulaji ni TFF tuu na Jamal ndo kapoteza. BMT mwenyekiti ni sanamu tu labdaKatibu.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Ni hatua nzuri tunahitaji mabadiriko na huko kwenye michezo

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
 
Kulikua na wasiwasi huenda Malinzi Mkubwa akaingilia kumuokoa Malinzi Mdogo kwa BMT kuingilia shughuli za uchaguzi wa TFF
 
Kulikua na wasiwasi huenda Malinzi Mkubwa akaingilia kumuokoa Malinzi Mdogo kwa BMT kuingilia shughuli za uchaguzi wa TFF
Narudia kusema tena, kwa akili yako ya kawaida hivi ulidhani uchaguzi Malinzi angeshindwa uchaguzi huu yeyote ule kati ya waliomba kugombea. Sahau kabisaaaa, wajumbe wote wa kupiga kura walishalambishwa milungula ya utakatishaji fedha kitambo. Piga hesabu ndogo tu, hapa Jamali kule Dionis, hivi angeshindwaje uchaguzi? Na si hivyo tu, hata baadhi ya watu/wadau walioonekana kuwa na uwezekano wa kusaidia ushindi walishawekwa sawa kitambo.
Watu hawajiulizi hizi si zama za ujanja ujanja na magumashi. Uzuri awamu hii ipo kazini, walishanusa kitambo kilicho uvunguni. Tukiachana na hayo yote, je, akina Malinzi na wenzake walifisadi hela za tff au wanasingiziwa? Jibu ni wazi kuwa kuna ufujaji kwa mazingira, sasa vyombo vya sheria vimeshika hatamu, tutajua mbivu na mbichi.Wakisha kwiba huko,wakija mitaani nyodo nyingi na kuona wengine hawana akili za kutafuta pesa.Hapa kazi tuu, wizi peleka huko.Shark upo?

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
na yeyote yule#ule

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyo Dioniz Malinzi ni ndugu na Jamal Malinzi?
Baba mmoja mama Mmoja, ndio aliyemfundisha Jamali upigaji na kumpigania kumuweka hapo TFf pamoja ma mapingamizi yote, yaliyotoka kwa wadau wa football, pia ndiye aliyevunja nyumba yake na kumfanya aache kazi yake nzuri ya kisomi pale Tirdo
 
Wavunje na BASATA halina tija kabisa. Wabadilishe muundo wake uwe wa kisasa.
Mpaka mkubwa aseme, kama alivyoongea Waziri Mkuu Bungeni ndio wameona mapungufu.

Cha kujiuliza ni tija gani inayoonekana kwenye Baraza la Sanaa...matatizo ni hayo hayo yaliyopo kwenye Michezo...zaidi ya kutangaza wamefungia filamu fulani hakuna cha zaidi kinafanyika na miaka inaenda..

Tasnia ya filamu inapumulia mashine na bado unaambiwa kuna Baraza la sanaa, bodi ya filamu...na kuna watu wanalipwa mishahara kila mwezi.
 
Mali-ya-nzi azidi kuelekea chooni.
 
aisee inawezekana kama ni kweli basi warudi haraki wakatambike vinginevyo wafwa

Hiyo ndiyo hali halisi Mkuu na baada ya Wao kumfanyia haya ' manyanyaso ' huyo Mama yao wa Kambo Baba yao ambaye ni ' Kipofu ' alilia sana kwani huyo Mama yao wa Kambo ndiyo alikuwa akimjali sana Baba yao kwa kila hali wakati Wao wakiwa ' Dar ' wanakula ' Bata '. Wanasumbuliwa na ' laana ' mbili ya huyo ' Mazeri ' na ' Mshua ' wao. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Hakika hii, ni kanauni ya hakuna jiwe litakalo salia bila kugeuzwa.
Omba Sana yasikukute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…