Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Wewe ni mjinga wa kila siku hivi wajibu wa serikali ni kupiga tafu?Si umeshajijibu mwenyewe hapo.
Kimbia na wwe uoneshe unakwenda kwenye mahindani uone kama Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan hajakupiga tafu.
Hivi akili zenu mnazipeleka livu?
Kumbe kuna wazee wapumbavu hivi...[emoji867][emoji706]Si umeshajijibu mwenyewe hapo.
Kimbia na wwe uoneshe unakwenda kwenye mahindani uone kama Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan hajakupiga tafu.
Hivi akili zenu mnazipeleka livu?
Wewe hapo kwako hamna mchezo wowote?? Maviwanja ya wazi mshayauza yote, mambo ni tight familia zinahangaika kutafuta chakula Yani familia nzima inafanya kazi... Na ikifika weekend hamna pa kupumzikia.. wewe Mzee mwenzangu unataka mitaani hizo team zichezee wapi??Watanzania ni mahodari kwa unafik na umbea tu.
Wewe unaeandika mtaani kwenu kuna timu ya mchezo upi?
Kabla hujauliza serikali imefanya nini, jiulize wewe umeifanyia nini nchi yako.
Mi naona alienda kuwatia uvivu washiriki tuu...sababu maandalizi hafifu..halafu hakuna aibu nchi kubwa hivi inapeleka watu Saba?? Saba tuu?? Mngepeleka hata team ya pool table basi...shame shame shameKwahiyo kwa akili zako unaona kuwepo kwake kule kuliongeza performance ya wachezaji au kulipunguza?
Siku zote wanaofeli wanatafuta sababu.Wewe hapo kwako hamna mchezo wowote?? Maviwanja ya wazi mshayauza yote, mambo ni tight familia zinahangaika kutafuta chakula Yani familia nzima inafanya kazi... Na ikifika weekend hamna pa kupumzikia.. wewe Mzee mwenzangu unataka mitaani hizo team zichezee wapi??
Kuna fungu linalotolewa kila mwaka la michezo ya umishumta na umitashumta, je serikali hua inawaendeleza washindi na kuibua vipaji kwenye mashindano hayo?? Mara nyingi tunaona wanapelekwa vijana waliotoka kwenye international schools Hawa waogeleaji..Ina maana shule za kayumba hamna vipaji vya kuendeleza?? Lile somo.la michezo tangu shule za msingi linaendeleaje??
Unataka KUSEMA wizara haiwajibukinkatika maandalizi ya washiriki.wa olimpiki?? Huyo waziri alienda kufanya nini huko na wachezaji saba tuuu...
Hamwoni aibu mnahangaika na bongo movie iliyojifia badala ya kuwekeza kwenye michezo mingine nchi ijulikane???
Huyu waziri ataweza kuisimamia maandalizo ya Afcon kwa unavyoona???? Aisee
Ushindwe wewe uanze kututukana wazee?Kumbe kuna wazee wapumbavu hivi...[emoji867][emoji706]
Wajibu wa serikali ni kwenda kukimbia Olympics na kucheza mpira.Wewe ni mjinga wa kila siku hivi wajibu wa serikali ni kupiga tafu?
Shida elimu yako ina virusWajibu wa serikali ni kwenda kukimbia Olympics na kucheza mpira.
Punguwani wahed.
Hapo ndipo upeo wako ulipoishia.Shida elimu yako ina virus
Leo Tena Tanzania tumeangukia pua. Kijana Simbu amepambana lkn BAADAE alishindwa...ukimtizama ni maandalizi hafifu ndio tatizo..Nimeskia yule Geay yeye ni majeruhi, Sasa nawaza walipelekaje mtu mwenye majeraha kwenye mashindano??? Tunasubiri kesho inawezekana wale wadada wakatitoa kimasomaso...Viongozi wa Kamati ya Olimpiki waliwaahidi Wananchi kwamba nchi yetu itaushangaza ulimwengu katika michezo hii. Kwamba walifanya maandalizi na mazoezi ya kufa mtu, kuhakikisha wanarudi na medali nyingi. Kilichojitokeza ni kwamba wamewashangaza Wananchi, si Walimwengu, kwa mwenendo mbovu walio nao na si ajabu wakatoka mikono mitupu toka hiyo safari yao ya Utalii nchini Ufaransa. Sana tunashangazwa na Kisiwa cha St. Lucia chenye eneo la kilomita za mraba 617 na idadi ya watu 200,000 hivi kupata medali ya dhahabu ambayo ni ya kwanza kupitia mkimbiaji wao wa kike, Julien. Need I say more?
Tumaini pekee lililokuwa limesalia yaani Marathon ya Wanawake limeingia nyongo baada ya mwakilishi wetu kuwa wa 40 kwenye mbio hizo. Yametimia waliyoyasema wengi kuhusu Olympic ya mwaka huu na uwakilishi ulio chini ya kiwango katika michezo hiyo. Tujiandae kwa 2028.Viongozi wa Kamati ya Olimpiki waliwaahidi Wananchi kwamba nchi yetu itaushangaza ulimwengu katika michezo hii. Kwamba walifanya maandalizi na mazoezi ya kufa mtu, kuhakikisha wanarudi na medali nyingi. Kilichojitokeza ni kwamba wamewashangaza Wananchi, si Walimwengu, kwa mwenendo mbovu walio nao na si ajabu wakatoka mikono mitupu toka hiyo safari yao ya Utalii nchini Ufaransa. Sana tunashangazwa na Kisiwa cha St. Lucia chenye eneo la kilomita za mraba 617 na idadi ya watu 200,000 hivi kupata medali ya dhahabu ambayo ni ya kwanza kupitia mkimbiaji wao wa kike, Julien. Need I say more?