nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Ni baada ya team kuzengua huko Misri,bila shaka zahera hakurudi maana kuanzia mwezi wa nane atakuwa na team moja tu ya vyura vyurani anaenda kufukuzwa national team na ole wenu mumchelewesheee mshahara wake ,zamani alikuwa anategemea mshahara wa congo hakuwa na presha hadi akawa anashangaa wachezaji wakidai hela zao.