Waziri wa michezo wa Dr Congo akipokea kichapo airport

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Ni baada ya team kuzengua huko Misri,bila shaka zahera hakurudi maana kuanzia mwezi wa nane atakuwa na team moja tu ya vyura vyurani anaenda kufukuzwa national team na ole wenu mumchelewesheee mshahara wake ,zamani alikuwa anategemea mshahara wa congo hakuwa na presha hadi akawa anashangaa wachezaji wakidai hela zao.
 
duuh hawa ndio wanapenda nchi yao!!!, nakumbuka watu fulani waliwahi kuua waziri uwanja wa nedege, kisa kawacheleshea safari!!
 
Write your reply...
tuseme ukweli
congo ile mechi walikuwa wanapita sema walikosa nafasi nyingi mno walipata kona 17 kama sikosei
 
Ni baada ya team kuzengua huko Misri,bila shaka zahera hakurudi maana kuanzia mwezi wa nane atakuwa na team moja tu ya vyura vyurani anaenda kufukuzwa national team na ole wenu mumchelewesheee mshahara wake ,zamani alikuwa anategemea mshahara wa congo hakuwa na presha hadi akawa anashangaa wachezaji wakidai hela zao.

Utavalishwa Khanga wewe, alafu wamaume wakupakate, shauri yako usipoacha umbea wako
 
Back
Top Bottom