nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Amunike yuko wapi?tumpe kichapo
duuh hawa ndio wanapenda nchi yao!!!, nakumbuka watu fulani waliwahi kuua waziri uwanja wa nedege, kisa kawacheleshea safari!!
Wabongo wanafiki hatare
Amunike alipoachwa bila ya kufukuzwa TFF ililaumiwa, imemfukuza sasa inalaumiwa pia
Utavalishwa Khanga wewe, alafu wamaume wakupakate, shauri yako usipoacha umbea wakoNi baada ya team kuzengua huko Misri,bila shaka zahera hakurudi maana kuanzia mwezi wa nane atakuwa na team moja tu ya vyura vyurani anaenda kufukuzwa national team na ole wenu mumchelewesheee mshahara wake ,zamani alikuwa anategemea mshahara wa congo hakuwa na presha hadi akawa anashangaa wachezaji wakidai hela zao.
https://www.facebook.com/video.php?v=761118590971535
inaonekana una uzoefu na hiyo shughuli.Utavalishwa Khanga wewe, alafu wamaume wakupakate, shauri yako usipoacha umbea wako