mmzalendo Senior Member Joined Nov 1, 2010 Posts 165 Reaction score 1 Mar 12, 2011 #1 KUNA MAMBO MENGI YA KULETA TANZANIA NA KUBUNI NJIA ZA KUIWEZESHA NCHI KUINUA UCHUMI MIMI NADHANI HII INAWAWEZA KUTUSAIDIA KAKA USAFILISHAJI www.lifeofmshaba.com: UBUNIFU WA USAFIRISHAJI HUKO AUSTRALIA
KUNA MAMBO MENGI YA KULETA TANZANIA NA KUBUNI NJIA ZA KUIWEZESHA NCHI KUINUA UCHUMI MIMI NADHANI HII INAWAWEZA KUTUSAIDIA KAKA USAFILISHAJI www.lifeofmshaba.com: UBUNIFU WA USAFIRISHAJI HUKO AUSTRALIA
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,518 Reaction score 6,506 Mar 12, 2011 #2 Unamsema Magufuli!? Hujasikia kuwa serikali ya CCM imeamua kumbana mbavu asiendelee kufanya kazi kwa bidii na ubunifu!?
Unamsema Magufuli!? Hujasikia kuwa serikali ya CCM imeamua kumbana mbavu asiendelee kufanya kazi kwa bidii na ubunifu!?
kapotolo JF-Expert Member Joined Sep 19, 2010 Posts 3,727 Reaction score 2,217 Mar 12, 2011 #3 Hakuna kitu kinaitwa miundo mbinu siku hizi, tuna ujenzi na uchukuzi kwa mawaziri wawili tofauti, hii ilifanya kuongeza "ufanisi", eti watendaji wa miundombinu walikuwa wanachoka sana (sijui kwa kazi ipi waliokuwa wanafanya).
Hakuna kitu kinaitwa miundo mbinu siku hizi, tuna ujenzi na uchukuzi kwa mawaziri wawili tofauti, hii ilifanya kuongeza "ufanisi", eti watendaji wa miundombinu walikuwa wanachoka sana (sijui kwa kazi ipi waliokuwa wanafanya).