Waziri wa miundo mbinu anangoja nini?

Waziri wa miundo mbinu anangoja nini?

Unamsema Magufuli!? Hujasikia kuwa serikali ya CCM imeamua kumbana mbavu asiendelee kufanya kazi kwa bidii na ubunifu!?
 
Hakuna kitu kinaitwa miundo mbinu siku hizi, tuna ujenzi na uchukuzi kwa mawaziri wawili tofauti, hii ilifanya kuongeza "ufanisi", eti watendaji wa miundombinu walikuwa wanachoka sana (sijui kwa kazi ipi waliokuwa wanafanya).
 
Back
Top Bottom