peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hawezi kumfukuza kazi huyo kwani zaidi ya 75% Ni wale waleDC huyu haonekani ofisini, hasikiliza kero za wananchi,
Kinyume chake amebadili gia angani sasa ni mchimbaji mdogo na anamiliki maduara na makarasha ya kusaga dhahabu kwenye maeneo ya wachimbaji wadogo na kwenye hifadhi ya misitu TFS.
HaweziHawezi kumfukuza kazi huyo kwani zaidi ya 75% Ni wale wale
Labda anaenda kusikilizia huko mstuni ambako wewe hauendi na haumuoniDC huyu haonekani ofisini, hasikiliza kero za wananchi,
Kinyume chake amebadili gia angani sasa ni mchimbaji mdogo na anamiliki maduara na makarasha ya kusaga dhahabu kwenye maeneo ya wachimbaji wadogo na kwenye hifadhi ya misitu TFS.
DC anatumia polisi kunyanyasa wachimbaji eneo hilo, wewe unasema wachimbaji wadogo wana wizu!!!Wachimbaji wadogo mnakuaga na wivu sana, sjui kwanini...🤔
Polisi anaingia nao machimboni?DC anatumia polisi kunyanyasa wachimbaji eneo hilo, wewe unasema wachimbaji wadogo wana wizu!!!
Dc wa chunya ni ng'ombeDC huyu haonekani ofisini, hasikiliza kero za wananchi,
Kinyume chake amebadili gia angani sasa ni mchimbaji mdogo na anamiliki maduara na makarasha ya kusaga dhahabu kwenye maeneo ya wachimbaji wadogo na kwenye hifadhi ya misitu TFS.
Acha umbeya , yeye Mchengelwa anafutiliwa nani ? Au boss wake aliemteua afutiliwa na nani? TueshimianeDC huyu haonekani ofisini, hasikiliza kero za wananchi,
Kinyume chake amebadili gia angani sasa ni mchimbaji mdogo na anamiliki maduara na makarasha ya kusaga dhahabu kwenye maeneo ya wachimbaji wadogo na kwenye hifadhi ya misitu TFS.
wale wote ni panya wanazidiana umbo tu kidogo lakini ni walewaleDC huyu haonekani ofisini, hasikiliza kero za wananchi,