Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

Ulichonishangaza ni kusema; "he was speaking like a president in waiting!" Hivi tunahitaji RAIS mchapa kazi kama JPM au tunahitaji anayeongea kipresident?
 
Hata hivyo,nimependa jinsi alivyojieleza kwenye majumuisho baada ya michango ya wabunge.Ana akili nzuri sana Mhe.Makamba.
 
Basi mimi nikajua kuna jambo la maaana sana, mbona kawaoda tu hiyo so far January ni Fisadi tu hata mumsafishe vipi
 
Media si unaweza kuwapa tu ela na wakakupamba tu kwenye agenda ambazo ni public domain.
 
Ulisahau kutujulisha ni asili mia ngapi ya wabung (jumlisha na mawaziri) wanamudu teknologia hii.
 
Ulisahau kutujulisha ni asili mia ngapi ya wabung (jumlisha na mawaziri) wanamudu teknologia hii.
Wabunge wote wa Bunge la JMT, wamepewa vishikwambi, hadi Kibajaji na Musukuma wanajua kutumia vishikwambi!.
Sasa ni mwendo wa QR code!.
P
 
Media si unaweza kuwapa tu ela na wakakupamba tu kwenye agenda ambazo ni public domain.
Kazi ya media sio kupamba watu au kuwafagilia bali ni information dissemination, sasa kama info zenyewe ni good news, mtu anapambika, then mwacheni apewe maua yake!.
P
 
Mnazingatia vitu petty sana tena useless and meaningless katika kumpima mtu kwenye mambo makubwa!. Huu ni ujinga.
Tunaamin wizara ilikua na bajet katika kuandaa report katika mfumo wa kizaman, Je hayo mamillion aliyo save kama sio kwa ajil ya kupiga unafikiri kayarudisha serikalini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…