Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichonishangaza ni kusema; "he was speaking like a president in waiting!" Hivi tunahitaji RAIS mchapa kazi kama JPM au tunahitaji anayeongea kipresident?Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.
Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.
Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.
Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.
La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kumhusu January
- Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!
- Japo yamesemwa mengi mazuri kuhusu Mkapa, kwa maoni yangu, maneno haya ya January Makamba ni one among the best kumhusu Benjamin William Mkapa
- Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
- Nishati Jadidifu: TotalEnergies yafanya tena kweli, yaongoza njia. Waziri Makamba aipongeza, awataka wengine wafuate
Ushamba mzigo ndugu yanguuuuuuKwani QR Code ni jambo la ajabu sana? QR ya thread yako hii ni hii hapa chini
View attachment 2642021
Scan uone !!
January no bogus mmoja anayevutia watu wa aina fulani lakini watu wenye busara na akili walishamjua siku nyingi sana.
Basi mimi nikajua kuna jambo la maaana sana, mbona kawaoda tu hiyo so far January ni Fisadi tu hata mumsafishe vipiWanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.
Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.
Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.
Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.
La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kumhusu January
- Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!
- Japo yamesemwa mengi mazuri kuhusu Mkapa, kwa maoni yangu, maneno haya ya January Makamba ni one among the best kumhusu Benjamin William Mkapa
- Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
- Nishati Jadidifu: TotalEnergies yafanya tena kweli, yaongoza njia. Waziri Makamba aipongeza, awataka wengine wafuate
Media si unaweza kuwapa tu ela na wakakupamba tu kwenye agenda ambazo ni public domain.Wanabodi,

Primary nilisoma UPE, sekondari nikasoma MEMKWA, chuo nikaingia mature!.Hivi Paskali ulisoma wapi? Mbona una uwezo mdogo hivyo wa kujenga hoja?
Ulisahau kutujulisha ni asili mia ngapi ya wabung (jumlisha na mawaziri) wanamudu teknologia hii.Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.
Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.
Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.
Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.
La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kumhusu January
- Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!
- Japo yamesemwa mengi mazuri kuhusu Mkapa, kwa maoni yangu, maneno haya ya January Makamba ni one among the best kumhusu Benjamin William Mkapa
- Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
- Nishati Jadidifu: TotalEnergies yafanya tena kweli, yaongoza njia. Waziri Makamba aipongeza, awataka wengine wafuate
Wabunge wote wa Bunge la JMT, wamepewa vishikwambi, hadi Kibajaji na Musukuma wanajua kutumia vishikwambi!.Ulisahau kutujulisha ni asili mia ngapi ya wabung (jumlisha na mawaziri) wanamudu teknologia hii.
Kazi ya media sio kupamba watu au kuwafagilia bali ni information dissemination, sasa kama info zenyewe ni good news, mtu anapambika, then mwacheni apewe maua yake!.Media si unaweza kuwapa tu ela na wakakupamba tu kwenye agenda ambazo ni public domain.
Huna hoja kwenye hiliWabunge wote wa Bunge la JMT, wamepewa vishikwambi, hadi Kibajaji na Musukuma wanajua kutumia vishikwambi!.
Sasa ni mwendo wa QR code!.
P
Yan ujinga ujinga tuuHuna hoja kwenye hili
Debatable!Wabunge wote wa Bunge la JMT, wamepewa vishikwambi, hadi Kibajaji na Musukuma wanajua kutumia vishikwambi!.
Sasa ni mwendo wa QR code!.
P